Urambo mashariki kwa Mh.Sitta mambo yameiva

eti anamuachia mke wake ebo!!!! Kwani hilo jimbo ni mali yake??? Nitashangaa saaana wananchi wa urambo mkimchagua mama sita kwa maana mtakuwa mmekubaliana na usultani wao, Tanzania sio mali yao au sehemu ya uk oo wao bali tanzania ni mali ya watanzania ... Hapa mnatakiwa muonyeshe ushupavu.

Anamwachia mkewe? Huyu chura aliyerudia maji bila shaka aliyakuta maji yana moto hadi yakamwathiri ubongo ma sasa anadhani jimbo la uchaguzi ni mali ya familia. Very sad indeed.
 
Jamani wandugu Mimi ni cdm lakini nawaambia ukweli cdm ni ngumu kushinda urambo.sitta anaweza kushindwa kwenye kura za maoni ila ccm ni ngumu kushindwa.nilikuwepo kikazi Nov 2013 nilichogundua urambo kuna upinzani mkubwa kati ya wagombea wa ccm lakini nje ccm haina mpinzani.kama hauamini ondoka pale urambo mjini kama utakuta bendera ya cdm
 
Kila la kheri ila asubiri muda ukifika agombee na akiteuliwa au asipoteuliwa akubaliane na matokeo yoyote na kuendelea kuimalisha chama. Isije kuwa akitoswa nae anaanza kukihujumu chama tena
 
Ukoo wa Mapolu?? Hapati kura Wanajisikia sana wale, kwao usoke mlimani pale.

KDS : uwe fair kidogo, chuki binafsi siyo nzuri,bahati nzuri sana mimi na wewe tunafahamiana sana,funguka wanajisikia katika lipi hawa watu....kwa mtu yeyote anayeufahamu vizuri huu ukoo wa Mapolu,hawezi sema maneno hayo unayosema...Jumapili njema na Mungu akubariki
 
Jamani wandugu Mimi ni cdm lakini nawaambia ukweli cdm ni ngumu kushinda urambo.sitta anaweza kushindwa kwenye kura za maoni ila ccm ni ngumu kushindwa.nilikuwepo kikazi Nov 2013 nilichogundua urambo kuna upinzani mkubwa kati ya wagombea wa ccm lakini nje ccm haina mpinzani.kama hauamini ondoka pale urambo mjini kama utakuta bendera ya cdm

Kwako wewe bendera ndo kila kitu? Halafu unaongelea habari za 2013 leo hii? Kuna escrow na swala la katiba mpya na yote yamewaudhi sana wananchi na hawana sababu ya kuendelea kuwaunga mkono wezi na wachakachuzi wa maoni yao kwenye katiba yao iliyogeuzwa kuwa ya mafisadi
 
Jamani wandugu Mimi ni cdm lakini nawaambia ukweli cdm ni ngumu kushinda urambo.sitta anaweza kushindwa kwenye kura za maoni ila ccm ni ngumu kushindwa.nilikuwepo kikazi Nov 2013 nilichogundua urambo kuna upinzani mkubwa kati ya wagombea wa ccm lakini nje ccm haina mpinzani.kama hauamini ondoka pale urambo mjini kama utakuta bendera ya cdm

Hakuna mwana chadema mwenye mawazo mfu kama wewe,utakuwa gamba unayejificha ktk kwapa la cdm kuogopa aibu
 
Nani kakwambia itikadi inakaa kwenye bendera?
Jamani wandugu Mimi ni cdm lakini nawaambia ukweli cdm ni ngumu kushinda urambo.sitta anaweza kushindwa kwenye kura za maoni ila ccm ni ngumu kushindwa.nilikuwepo kikazi Nov 2013 nilichogundua urambo kuna upinzani mkubwa kati ya wagombea wa ccm lakini nje ccm haina mpinzani.kama hauamini ondoka pale urambo mjini kama utakuta bendera ya cdm
 
Jamani wandugu Mimi ni cdm lakini nawaambia ukweli cdm ni ngumu kushinda urambo.sitta anaweza kushindwa kwenye kura za maoni ila ccm ni ngumu kushindwa.nilikuwepo kikazi Nov 2013 nilichogundua urambo kuna upinzani mkubwa kati ya wagombea wa ccm lakini nje ccm haina mpinzani.kama hauamini ondoka pale urambo mjini kama utakuta bendera ya cdm

usitidanganye last time alimchakachua wa chadema alisinhizia ati akina Rostam walimkumbatia!! hata angegombea safari hii ilikuwa ni aibi kwake manaake huwezi chakachua mala mbili
 
eti anamuachia mke wake ebo!!!! Kwani hilo jimbo ni mali yake??? Nitashangaa saaana wananchi wa urambo mkimchagua mama sita kwa maana mtakuwa mmekubaliana na usultani wao, Tanzania sio mali yao au sehemu ya uk oo wao bali tanzania ni mali ya watanzania ... Hapa mnatakiwa muonyeshe ushupavu.

Usishangae mkuu. Sitta hajawahi kuwa mtu mwenye kuwaza na kufikiri, ni historia tu ndo ilimpendelea. Ni wazi nimeambiwa kisha gawa pikipiki na baiskeli ili mkewe apate jimbo. huo ndo upuuzi wa siasa za nchi hii eti watu wanajipanga.
 
Aliacha udokozi aliokuwa anafanya akiwa shuleni any way watanzania ndiyo wenye maamuzi hasa wakaazi wa jimbo hilo ngoja wakati ufike.

Kama lidokoa akiwa Primary, wengine huachana na utoto lakini kama alidokoa akiwa Chuo kikuu, hawezi acha.

btw. tupeni wasifu wa huyo mtu maana mambo ya kudandia sifa ya familia hatutaki na ndo maana tunasema Magreth asidandiye jina la sitta pia. Hatutaki wanaoingia bungeni kusinzia kama Wasira.
 
kule urambo nimekaa miezi miwili na nilikuwa na project vijijini wkt wa uchaguz wa juzi hapa...sidhani kama majimbo yale watashinda CCM tena,hasa kule Kaliua,CHADEMA wana nguvu sana urambo kwa sasa,kama kuna mtu ana matokeo ya vijiji ya juzi ayaweke hapa mjionee wenyewe! Hata tabora mjini CHADEMA wamepata zaidi ya mitaa 30,something that's unbelievable
 
Anachotaka kukifanya s.sitta akikubaliki na nitawashangaa wana ccm urambo iwapo watampitisha m.sitta kugombea ubunge kupitia ccm,,,,kamanda luhende komaa na mungu akutangulie hilo jimbo ni lako kamanda
 
Back
Top Bottom