Recent content by Christian msangi

  1. Christian msangi

    JamiiForums Tanzania Msemo wa Sugu ‘matako yenu’ umekaa kishamba sana, aliye karibu naye mwambie aachane nao

    Hata wewe matako Yako punguza ujuaji kwenye maisha ya watu
  2. Christian msangi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu yeyote tushirikiane kufungua ofisi ya uchomeleaji, vifaa vyote ninavyo

    asee nitafutie basi mdau yoyote tufungue ofis arifu
  3. Christian msangi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu yeyote tushirikiane kufungua ofisi ya uchomeleaji, vifaa vyote ninavyo

    Habari wadau mimi ni welding technology nahitaji mdau yoyote mkoa wowote tufunguwe workshop vifaa ninavyo kama welding machine grander machine drill machine naweza kupauwa paa za chuma magate madirisha dawati za shule bembea vitanda nk nipo mbez beach. dar number zangu ni 0756547949\0621013855
  4. Christian msangi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dunia imejaa watu waongo

    Fact 🎯🎯
  5. Christian msangi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujikwamua kwa kunipa kazi

    shukuran kaka
  6. Christian msangi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujikwamua kwa kunipa kazi

  7. Christian msangi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujikwamua kwa kunipa kazi

    Yes bos nafanya hivyo kiongozi
  8. Christian msangi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujikwamua kwa kunipa kazi

    amen tajiri
  9. Christian msangi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujikwamua kwa kunipa kazi

    ahsante sana mkuu barikiwa kwa wazo zuri
  10. Christian msangi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujikwamua kwa kunipa kazi

    Habar ya saizi wana JF wote nakuja kwenu mdau mwenzenu nikiwa nahitaji msaada wenu, mimi nna taaluma ya welding technology napauwa magodawn kanisa mageti glill dor nk. Nimefanikiwa kupata Welding Machine Drill machine Grander machine nahitaji msaada wa kazi mahali popote pale nifanye ili...
  11. Christian msangi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Samia ana njama za kugawa sehemu ya nchi kwa Uganda kama shukrani?

    Huo ni uongo wa kuficha ukweli waliotuuwa ni kmkm hakuna mganda mwarabu hakuna mganda mweupe hakuna jeshi kutoka nje liliingia Tanzania wala watu wa kukodi ni wazanzibar kmkm wametuua watanganyika tuamkeni tuchukuwe hatua 09 ntakuwepo
  12. Christian msangi

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Cancel culture imefeli kabisa Tanzania ?

    True say is my life chief
Back
Top Bottom