Recent content by christhekatt

  1. christhekatt

    JamiiForums Tanzania 1jz GTE ni injini yenye nguvu sana

    Yaani bongo watu wanaongelea sijui mark x, brevis, verosa, mark II, Subaru, hao wanaendesha alteza sasa utafikiri wanaendesha Nissan GTR kumbe sedan ya kawaida tu kelele nyingi gari iko hapohapo. Huwa nacheka sana road wakianza ligi zao za kitoto....
  2. christhekatt

    JamiiForums Tanzania Mbona Xi Jinping China au Puttin au Merkel wa Ujeruman hawajui kizungu kabisa? unapimaje uwezo wa mtu kwa kujua kizungu?

    We si unasikia anavyokandamizia akiongea kiswahili, nukuu( kuna watu wanaficha maheraa). Seriously!!
  3. christhekatt

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mbunge Joseph Mbilinyi na Msonga waachiwa kwa dhamana, wamejidhamini wenyewe

    Aisee only in Tanzania...
  4. christhekatt

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje nyama ya baa inakuwaga nzuri zaidi ya nyama ya home, hata ya home ipikwe fresh zaidi?

    Hamna kitu napenda kama beer na nyama za kutayarisha nyumbani..... Sijui wewe nyumbani kwako wanapika vipi..... Ila kwangu wanajua kuanzia michemsho, kuchoma, kukaanga na korokocho nyingine. Yaan nina nimezungukwa na watu wanajua mapishi....
  5. christhekatt

    JamiiForums Tanzania Hili la Rais Magufuli kukwepa mikutano na vikao vya kimataifa limekaaje? Hakuna tunachopoteza?

    Ataenda kuongea nini huko duniani, hotuba zake za ndani tu hazieleweki.. kazi kutajataja manamba na mipasho
  6. christhekatt

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Weka premio second generation
  7. christhekatt

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kutoka kwa wanaofahamu muziki

    Jbl ni jina la kampuni, kama ilivyo sony, Panasonic, Samsung. Sema hawa jbl wanatengeneza na music system kubwa kama za kupiga kwenye matamasha ya music.
  8. christhekatt

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kutoka kwa wanaofahamu muziki

    I mean you won't regret...
  9. christhekatt

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kutoka kwa wanaofahamu muziki

    Nunua jbl full music system utajutia hela yako.
  10. christhekatt

    JamiiForums Tanzania Magufuli fukuza watumishi wote. Ajiri upya na kuweka KPI kama staff wa Big 4 proffessional firms

    we unatolea mfano ubalozi wa marekani!! electrician ambaye amesoma veta trade test pale ubalozini analipwa 1.2mil per month na bado kuna benefits kibao anapata. Electrician huyo huyo na hizo qualifications serikali yako ya magu analipwa 380000 per month. Alafu unakuja kuongea blah blah hapa...
  11. christhekatt

    JamiiForums Tanzania ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Jamaa kasema we believe in numbers..... And it's true numbers don't lie let's wait and see
  12. christhekatt

    JamiiForums Tanzania How To Arouse a Girl. Soma

    In bongo u don't need all of that bullshit, u just money and u can fuc... any girl
  13. christhekatt

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya simu za smartphone Tanzania

    Unakuta mwanaume yuko snapchat or instagram....... Seriously!!
  14. christhekatt

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Alichokisema Ismail Jussa juu Uamuzi wa CUF kumfukuza Prof. Lipumba

    No moon on. . ..l. Lll L l monk no
Back
Top Bottom