kondoowasufi
Senior Member
- Aug 19, 2014
- 190
- 178
Always capitalists are after profit...
Kare kajamaa ni kaongo sana..
Rinachezeaga akili za watanganyika rionekane yeye ndo "mkombozi"..
Wewe pia ni wakala wa shetani.Hapa watakuja wenye akili tu lumumba hawawezi pita hapa
Tena samaki ni yeye huyu alikurupuka na visirani vyake na, kutaka kiki kwenye media kidagaa kikamng'ang'ania
Nikweli, Ila hakuna kampuni haikwepi chochote katika serikali,Acacia sio wezi bali hapa lawama ni kwa watz wenzetu wachache ambao sio wazalendo. Haya yanafanyika huku kukiwa na watz waliopewa dhamana ya kuwasimamia.
Suala la ubovu WA scanners pia ni letu sio Lao,laiti km tungekuwa na vifaa vzr ya kubaini hayo makontena ndani yana nn nahisi kiasi fulani tusingefika huku.
Mkuu we ndio umetoa point,wengine humu wengi ni km bendera fuata upepo.Wanaotia hasira ni wale waliotufikisha hapa tulipo leo hii na wale ambao wamekuwa wakiwaunga mkono alafu leo ndio wanajidai kugeuka eti wana uchungu na hii nchi.
Wewe pia ni wakala wa shetani.
Ulitegemea dowans wajibu vipi?
Swali la kujiuliza pia___ Je wale wasomi na wataalamu wetu si lolote si chochote katika kile walichokitolea taarifa? Kwa maana nyingine ingekuwa mtihani wa maabara ile tume yote itakuwa imefeli?
Nnachojua ni kuwa baadhi yao ni walimu wa chuo kikuu katika field hiyohiyo, je hawajui wanachofundisha wanafunzi wao?
Kwa lugha nyepesi nao ni feki?
Au walishinikizwa kutoa report feki?
Acha kutoa coment za kijinga ?
Shangaa mwenyewe. Wataalamu wa acacia wanakwambia kwa kiwango cha gold concentration kwenye mchanga ukijumlisha na kiasi wanachochimba hapa nchini Tanzania ingekuwa nchi ya kwanza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani.kwa buzwagi na bulyankulu
Sawa,tunahitaji kulinda rasilimali zetu,ila report haina uhalisia kabisa!Hao wanaojibu hivyo, tutawakata vichwa tu, hakuna kukaa na mijitu haina akili kabisa na kuendelea kudhani kuwa wanatusaidia kumbe ndiyo mapoyoyo na wanashirikiana na wazungu koko kutuibia.
Yaani, tunahitaji kulinda mali zetu za nchi hii Kwa umoja na wote waliohusika wamekamatwa na zaidi, wazungu koko walipe hela zote walizotuibia.
Mkuu we ndio umetoa point,wengine humu wengi ni km bendera fuata upepo.
Issue sio woga, issue ni kuwa makini kwenye masula yanayohusu mikataba. Mikataba ukiifrustrate tu. Basi madhara yake huwa makubwa sana. Jana tu. Baada ya dr. Presida kutangazia dunia taarifa ya hiyo report, share za acacia zimeshuka kinoma kwenye Soko la hisa la London. Nani atakayekuja kuwa- compesate ikija gundulika kuwa tuliyotangazia dunia hayakuwa sahii? Au ndio yatakuwa Yale ya zile samaki? Tunesema na tunaendela kusema, tusipojali utawala wa Sheria kufanya mambo ya MSINGI kama hayo, tunajitafutia umaskini wa bure. Na nikuta kutumia fedha za walipakodi katika kulipia fidia zisizo za msingiHatuwezi kuendelea kuwa waoga kuulizia mali yetu. Woga ni adui nambari moja.
sherehe zipi, mbona mnatuchanganya. za kufukuzwa muhongoUpepo utabadilika muda si mrefu na sherehe zitasitishwa
Sawa,tunahitaji kulinda rasilimali zetu,ila report haina uhalisia kabisa!
Kweli muhongo hapo km ameonewa tu, ingependeza rais angeanza na chenge ambae ndie aliekuwa Mwanasheria mkuu those days. Then mtiririko ungeenda hivyo hadi the last Minister before muhongo.Hummmmm tuwahi kuvunja mikataba ili tunusulike na hayo mafidia yatakayoletwa kwa kutukomoa ila machozi ya wa tz yangekuwa kama mito kipindi cha masika yangewasomba mawaziri wa mkapa na mkwele professor mhongo kaingiaje hapo
Na professor lipumba alikuwepo.
Mawazo yako hayo. Wale sio wajinga kwa kiwango tunacho zania mkuu, Hawawezi kuwa Mafala kwa kiwango hichoUkiisoma vizuri hii, Mzungu kashikwa pabaya na kaingizwa chaka na wapambe