christhekatt
Member
- May 13, 2013
- 40
- 30
Unakuta mwanaume yuko snapchat or instagram....... Seriously!!
Mimi kwanza natunia kitochi mtandaoni kitarikishi, sina hizo taratibu za umbea wa uso wa kitabu. Nilikua najibu nilichokiona naweza kukijibu ila jamaa akanifananisha na hao wajinga. Mi pia sipendi huo upumbafu.jamaa kaongea ukweli si ajabu hata wewe ni victim Wa hili zaga
Miafrika ndio nini ?FAIDA NA HASARA ZA TEKNOLOJIA
1: KWA WEREVU: watazidi kuwa werevu zaidi na zaidi na kupata kujua mambo mengi ya manufaa ya dunia na kujiendeleza haraka kwa namna mbali mbali.. na kupata faida lukuki ktk maisha yao
2: KWA WAJINGA: Watazidi kuwa majinga zaidi na zaidi, sbb hawako kujifunza, wako kiujinga ujinga, watabaki na mapicha ya kijinga, porno, kufukuzana na umbea umbea kutwa, kila siku, kila wiki, miezi, miaka etc, ujinga wake utakuwa zaidi na zaidi... ukilaza utakuwa zaidi, na hawa wako wengi sana sana..
Conclusion:
Tatizo ni mtu mwenyewe, sio simu au computer, teknolojia yoyote haikuvumbuliwa kufanya watu wawe wajinga zaidi, ila ww mwenyewe utakavyoitumia hiyo teknolojia utaamua unatumia kwa manufaa au ujinga..!! Wengi wanatumia kwa ujinga, hasa miafrika..!!
qummer marcoSawa baby ntafanya yangu, kama wewe ni mwanaume halafu unalambalamba mdomo na kubinua makalio wakati wa kupiga picha kama ninavyokuona ukifanya basi tegemea mshipa wenye kusinyaa na kutanuka kwenye marinda yako muda c mrefu. Unadhani akina kaoge walianzaje? shauri yako endelea tu.