Naomba msaada, Nina mpenz ameingia hedhi 8 mwez wa 2,. Nimekutan nae tareh 4 mwez 3, akiwa kabakiza siku nne kuingia hedhi, mpaka sasa hajapat hedhi,na ukizingatia nimekutana nae siku ya 24, je kuna uwezekano wa kupat mimba kama nikiendelea kukutana nae? Kwamba alibadili mazingra alipokuwa...