Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Tena mtuache kila siku wakurya wakurya mkome kabisaaa
Makabila yako mengi msikae kutusema sisi kila siku
Mbona wamakonde hamsemi? wagogo? wamasai? Wale wacheza vigodoro wa dasalamu mnawajua vizuri kwenda ndani ndani huko kwa mkwere, kwenda kisarawe , kwenda chole
Aisee mtuache nyie bharisya nabhasaghane
[emoji23] [emoji23]