NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 999
KAULI TOFAUTI ZA WAPINZANI KATIKA AWAMU YA NNE NA TANO.
Katika Awamu ya nne: Rais Kikwete ameshindwa kuwashughulikia Watendaji wazembe, Mafisadi na Wala rushwa,,,,Tumefika hapa tulipo kwa sababu ya udhaifu wa Raisi Kikwete, Atakaye Muunga mkono Lowassa katika uchaguzi ndani ya CCM anastahili kwenda kupimwa akili yake Milembe Hospital,Rais wetu Kikwete anasafiri sana kuliko Rais yeyote Duniani, Tunataka Rais ajaye awe ni mwenye Maamuzi makini na sahihi ya papo kwa papo nasio mpaka tume iundwe. Tunataka Rais ajaye awe ni Dikteta ndio nchi Itakwenda.Mafisadi kwetu ni Mwiko, Serikali ya CCM inawafunga wezi wa kuku halafu inawaacha Mafisadi papa kama Lowassa yanatembea mtaani tu.. Hizi ni Miongoni mwa kauli kutoka kwa viongozi wa Upinzani katika Awamu ya nne.
Katika Awamu ya Tano :
Rais wetu Dkt Magufuli ni Dikteta, Wafanyakazi wanaotumbuliwa majipu hawasikilizwi, Tupo tayari kuwasaidia wanaotumbuliwa na Serikali ya Magufuli kwenda Mahakamani kupinga maamuzi hayo,, Rais anawadhalilisha Wafanyakazi anapowatumbua hadharani maana ni kinyume na haki za binadamu.. Wafanyabiashara wanaokamatwa kwa makosa ya kukwepa kulipa kodi na kuhujumu uchumi wa nchi yetu wanaonewa, Hatuta hudhuria vikao vya Bunge mpaka Naibu Spika Dkt Tulia Ackson atoke,Lowassa ni Mtu Msafi na mwadilifu ndio maana mpaka leo hajafikishwa Mahakamani kutokana na Ufisadi katika kampuni ya Richmond.Rais anatakiwa kuwa anaenda mara kwa mara nje ya nchi ili akajifunze kuongoza nchi,Tunataka pesa za mikopo ya Magari ziongezwe ili tununue Magari mazuri ya kifahari.Bora hata Kikwete kuliko Dkt Magufuli. Hizi ni baadhi ya kauli za viongozi wa Upinzani katika Awamu hii ya tano.
Mwisho, Hauhitaji kuwa na PHD kujua Wapinzani kwa sasa wapo ICU. Inahitalika uwe na Degree ya utahira ndio uwe mshabiki na mfuasi wa upinzani katika nchi yetu.