Recent content by Chrisrose

  1. C

    Siku Edward Ngoyai Lowassa atakapotangazwa mshindi wa urais ...

    Aiseeee hiyo siku lazima iwe siku maalum na iadhimishwe kila mwaka....
  2. C

    Siku Edward Ngoyai Lowassa atakapotangazwa mshindi wa urais ...

    Aiseeee hiyo siku lazima iwe siku mwalim na iadhimishwe kila mwaka....
  3. C

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Mleta mada umekurupuka.....na sidhan kama unafatilia siasa za nchi hii.........kwanza Mtikila hakuwa mgombea wa urais maana hakukidh vigezo vya kuidhinishwa na tume ya uchaguzi............ Lakin pia Dr Omary Ali Juma alipofarik hakuwa mgombea mwenza alikuwa tayari yupo...
  4. C

    Afisa utumishi Wilaya ya Ileje ni mzigo

    Afisa utumishi yupi...? Ofisi ya utumishi Ileje ina maafisa utumishi kama watano hivi....wanawake wapo wawili na wanaume watatu kama sikosei.....sasa wewe unamsema yupi..?
  5. C

    PIGA KURA: Kipima JOTO ITV Leo Jumapili 5.7.2015

    Mkuu vip matokeo ya kipimajoto cha ITV cha jumapili kuhusiana na muswada wa mafuta na gesi.....
  6. C

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Minaki mie naiskiaga siifahamu vizuri. Kama vipi, check performance ndo ufanye decision...
  7. C

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Daaaah.....we ni ke au me....mie niko hapa kilangalanga....haina comb za arts labda wawe wanaanzsha mwaka huu....
  8. C

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Shule ipo Mlandizi......kama km 1.5 kutoka Stand.......ina wanafunzi mchanganyiko kike na kiume kwa form 1 na 4......kwa kidato cha 5 inachukua watt wa kiume tu....ina walimu wa kutosha na ina maabara za kutosha navifaa vyake kwa masomo ya sayansi.....
  9. C

    CCM kwaiva: Kama si Salim ni Mwandosya

    Kwahyo vile mlivomchafua Salim Ahmed Salim mwaka 2005.....akaonekana hafai leo hii anafaa tena? Ila sasa Naamin CCM ni ukoo wa Panya...... Hiv si nyie kwa kuwatumia waandishi wa habari makanjanja mlidai Salim sio raia wa Tanzania..? hivi si nyie mlidai Salim anahusika na mauaji ya rais wa...
  10. C

    Ushauri: Nimeshika simu ya mpenzi wangu, sina hamu naye

    Mkuu kwan hujamuelewa jamaaa? wewe si umesema mwezi wa sita jamaa kaahid kumtia mimba.....? Ndio maana jamaa hapo juu kakushauri usubiri hadi mwezi wa sita atiwe mimba ......kwanza labda ndio utajua nini cha kufanya....
  11. C

    Dr. Slaa Hatatuangusha Watanzania

    Pia uchaguz uliopita Ccm Walijinasibu kuwa wana mtaji wa.wanachama milioni 5, Kura zilipohesabiwa wakapata hzohzo Milioni tano, Hapo Ritz unataka kunambia kwamba ccm haikupata kura nje ya ccm au ule mtaji wa milioni 5 uligeuka hasara??????
  12. C

    Taarifa kwa Umma kuhusu Ajira za Walimu

    Mfano sekta gani? kumbuka kuwa walimu ndio wanajiliwa kwa wing kuliko sekta yeyote Tanzania. Pia kumbuka kuwa watu wamemaliza chuo miaka mitatu ilopita mpaka leo hawana ajira.
  13. C

    Watu wanahisi mimi ni usalama wa taifa, naombeni ushauri

    Mbona Ramadhan Ighondu na Jack Zoka wanafahamika, au wao co usalama wa Taifa?
Back
Top Bottom