Afisa utumishi Wilaya ya Ileje ni mzigo

Afisa utumishi Wilaya ya Ileje ni mzigo

hatibu juma

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
278
Reaction score
37
Afisa utumishi Wilaya ya Ileje mkoani Mbeya ni mzigo kwa wananchi amegeuza ofisi za serikali kama Mali zake binafsi na anawafanyia wananchi dharau.

Naomba wafanyakazi wa namna hii wachunguzwe inawezekana pana rushwa hapa.
 
Emhue tulia kwanza..then fafanua vizur watu waelewe...kafanya nn..?? rushwa ipi aliokula?? ....
 
Taarifa kama hii ni nzuri na inafaa kufanyiwa kazi na mamlaka husika!Afisa utumishi anayekiuka maadili na misingi ya utendaji kazi ni kansa kwa taifa, na watu wa aina hii ndo wamekua kikwazo cha ufanisi wa Serikali iliyoko madarakani! thanks kwa taarifa!
 
Afisa utumishi Wilaya ya Ileje mkoani Mbeya ni mzigo kwa wananchi amegeuza ofisi za serikali kama Mali zake binafsi na anawafanyia wananchi dharau.

Naomba wafanyakazi wa namna hii wachunguzwe inawezekana pana rushwa hapa.

Loo weka na picha yake kabisa hapa! Hawa ndo wahujumu nchi!
 
Hebu punguza munkari, tueleze kwa nini umefikia uamuzi wa kumuita mzigo? Kwa vyovyote atakuwa amefanya au anaendelea kufanya mambo yasiyofaa, sasa tueleze ili tujue ubaya wake ili tusaidie japo mawazo ya nini kifanyike.
 
Afisa utumishi Wilaya ya Ileje mkoani Mbeya ni mzigo kwa wananchi amegeuza ofisi za serikali kama Mali zake binafsi na anawafanyia wananchi dharau.

Naomba wafanyakazi wa namna hii wachunguzwe inawezekana pana rushwa hapa.
mimi ninamtizamo tofauti na wako. inawezekana kabisa wewe ndo mwenye matatizo. ndo maana hata hii habari yako haina mbele wala nyuma. hebu soma tena ulichopost halafu chukulia sio wewe uliepost kama inaleta maana yoyote hii thread yako.
 
Afisa utumishi yupi...? Ofisi ya utumishi Ileje ina maafisa utumishi kama watano hivi....wanawake wapo wawili na wanaume watatu kama sikosei.....sasa wewe unamsema yupi..?
 
mimi ninamtizamo tofauti na wako. inawezekana kabisa wewe ndo mwenye matatizo. ndo maana hata hii habari yako haina mbele wala nyuma. hebu soma tena ulichopost halafu chukulia sio wewe uliepost kama inaleta maana yoyote hii thread yako.

Itakuwa ni wewe ndiye unaye tuhumiwa, ambacho hujaelewa ni nini!?
 
Kwasababu nilienda kwa shughuri yangu kikazi lakini nilipoingia ofcn mwake nikakuta kunaa walimu na wananchi wanasubitia hufuma ilaa yeye anapiga stori na watu nje ya ofc yake kinyume cha muda pia anabagua watu wa kuwahudumia jamani tihijadili kiundani tusikurupuke kushambilia uharisia leo wamefanyiwa wengne kesho wew
 
hahaaaaaaa! mimi na afisa utumishi wilaya wapi na wapi? watanilipa shilingi ngapi kwa hicho cheo? pesa mkuu ndo mpango mzima.
 
Sawa, na inawezekana lakini bado hujaongelea ana matatizo gani. Ebu dadavua zaidi ili nasi tukupe machango wetu.!!!!!!!!!!!
 
Mbombo mbona nmeongea tatizo huko juu huyu jamaa anaitwa NCHIMBI mwanzo alikuwa kyela amefanya madudu akaamishiwa ileje ndo anakofanyia madudu yake
 
Tusilikalie kimya maana watu kama hawa wako wengi sana Tanzania ipo siku mtakutana nao tupiganie
 
Kwasababu nilienda kwa shughuri yangu kikazi lakini nilipoingia ofcn mwake nikakuta kunaa walimu na wananchi wanasubitia hufuma ilaa yeye anapiga stori na watu nje ya ofc yake kinyume cha muda pia anabagua watu wa kuwahudumia jamani tihijadili kiundani tusikurupuke kushambilia uharisia leo wamefanyiwa wengne kesho wew

Mtaje jina maana tunaambiwa wapo 5 katika ofisi hiyo.
Tukimfahani ni rahisi kumshughulikia kabla ya 30.10.2015
 
Mbombo mbona nmeongea tatizo huko juu huyu jamaa anaitwa NCHIMBI mwanzo alikuwa kyela amefanya madudu akaamishiwa ileje ndo anakofanyia madudu yake

Atakuwa alipata nafasi kwa mgongo wa jamaa yule wa songea enzi amekalia uwaziri.
Nafac za kupeana madhara ni kwa wateja.
 
Ni lazima wawajibishwe kwa utovu wa nidham na iwe fundisho kuwa ofisi ya serikali n Mali ya umma
 
Tatizo la baadhi ya viongozi wetu wamegeuza Wilaya yetu ya Ileje kama sehemu ya kuwaleta baadhi ya watumishi
kama adhabu hii ni baada ya kufanya madudu huo walikotoka.
 
Back
Top Bottom