Recent content by ChrisMsofe

  1. ChrisMsofe

    Nauza Adsense Account

    Ni PM kama bado ipo tufanye biashara
  2. ChrisMsofe

    Nafasi 4 za Kazi Dar na Arusha

    Makenda Technology – Job Position: Content Writer 7 Job Description: Writing web content for websites / portals from scratch. Editing and Proof reading content once written. Writing, editing and proof reading copy for client projects based on the material supplied by them. Writing product...
  3. ChrisMsofe

    App making and web development

    Kwa ufaulu wako itabidi uanze Certificate
  4. ChrisMsofe

    Nimekosa raha, kila niki search website ya kudownload series sifanikiwi

    Tumia hii link utapata series latest kibao www.freemoviesub.com Ila unatakiwa kudownload file la subtitle jinsi ya kuweka subtitle kuna mdau aliweka maelezo hapa Jinsi ya kuweka subtitle kwenye movie yeyote ile
  5. ChrisMsofe

    Msaada google ads

    Subir wamalize ku review halaf yataonekana inaweza chukua hata zaidi ya Week na zaidi.. Kuwa na subira
  6. ChrisMsofe

    Msaada google ads

    Ndo Mpya? Namaanisha Ni mpya hiyo ads acc? Kama sio mpya bas hiyo website itakuwa hai support ads ila kama ni mpya iko kwenye review baada ya muda yataonekana
  7. ChrisMsofe

    Kujisajili na google adense katika blog ya kiswahili

    Ipo moja natumia ya kiingereza ila kuna moja ya kiswahili lakini bado hawajai Disable wakiizuia itabid nitumie tuu ya kiingereza hakuna namna.
  8. ChrisMsofe

    Kujisajili na google adense katika blog ya kiswahili

    Huwezi kukubaliwa kwa blog ya kiswahili labda ufungue kwa lugha ingine halaf baadae uhamishie matangazo kwenye blog yako ya kiswahili na kwa sasa wanabana sana ningumu pia kutumia kwa blog ya kiswahili na hata kupata adsense kwa sasa ni swala gumu sana.... Hii ni msg walinitumia baada ya...
  9. ChrisMsofe

    Msaada nimepata tatizo kwenye website yangu

    Kiukweli huo utaalam sijaujua labda uzipitie code za hiyo template kujua tatizo lilipo.. Au tusubir wataalam huku waje/Au kuinunua kama umeipenda
  10. ChrisMsofe

    Msaada nimepata tatizo kwenye website yangu

    Inaonekana Ulijaribu ku remove footer credit... Kama ni hivyo Upload upya lakini usiitoe hiyo footer credit mana huwa wana ziset ukiitoa mtu akifungua inarudi kwake.
  11. ChrisMsofe

    Wamiliki wa mitandao ya kijamii wanapataje hela

    Matangazo yanayowaingizia hela ni hayo unayoyaona upande wa juu pembeni au kati ya post unayoyaona kama ya voda nk. Google hela yao nyingi wanaingiza kwa njia ya matangazo ambayo unayaona kwenye blogs/website mbalimbali pia wana bidhaa mbalimbali kama Google playstore ambayo mtu akiweka app...
  12. ChrisMsofe

    Ushauri wa Bure kwa wanaopenda kufanya manunuzi online

    Naomba kuuliza mkuu nikilipia hiyo ya 15,000 ambayo nio ya Tsh. naweza kulipia bidhaa ambayo inauzwa kwa usd? au itabidi niwe na kadi ya usd ili kulipia bidhaa zinazouzwa kwa usd?
  13. ChrisMsofe

    Wazee wa graphics leta nondo

    Naokota vitu tuendelee wadau
  14. ChrisMsofe

    Maswali Juu ya Website na App

    Gharama zipo unalipia kitu kama $25 kwa play store tumia hii link Redirecting... kisha lipia halafu unaiweka... kwa apple tumia hii link utajua zaidi How To Submit Your Own App To The iTunes App Store
  15. ChrisMsofe

    Maswali Juu ya Website na App

    Tofauti ni kuwa offline inaweza fanya kazi bila hata ya internet ila kwa online lazima kuwe na internet ili iweze kufanya kazi. Yap unaweza kutengeneza Website then baadae ukaja kutengeneza app ya hiyo website yako na vikafanya kazi vyote kwa pamoja.
Back
Top Bottom