Recent content by CHOVELA

  1. CHOVELA

    Wamiliki wa magari wazidi kuumizwa

    Hakuna mtu anaeweza peleka mbele siku tufike Oct 25!?
  2. CHOVELA

    Maelezo kidogo: Sole proprietorship Vc limited company.. kipi bora?

    Katika pitapita za kujifunza kuhusu hii mambo nikakutana na huu uzi. Asanteni wakuu. Hapa nimejifunza mengi
  3. CHOVELA

    Mbona Hawaazimii Lolote Kuhusiana na "Mlango"? Wabongo Tunapenda Mno Drama

    Sasa kama mwenye nyumba ndio anaeibia familia yake tutafanyaje? Hapa mwizi sio huyo Kanjbai, nina uhakika wezi ni sisi wenyewe kwa kumtumia Kanjbai. Ila pendekezo la Mwandosya kuhusu kufunga mlango kwa kuangalia policy na laws zetu zilipo na mwanya na kurekebisha. But wazo langu ni kuwa, our...
  4. CHOVELA

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Kiukweli hakuna hatua iliyoniumiza kama huyu jamaa kutegemewa kutoa ushauri. Hivi inamaana hatuna watu wengine wenye weredi wa kulipa bunge ushauri pale unapohitajika!?
  5. CHOVELA

    Kuna Haja ya Kuwafanyia Undava Wageni Ivory Coast?

    Jamani mpira una mambo mengi. Unaweza ukajua sana kuucheza uwanjani na bado ukafungwa. Kitu cha muhimu hapa ni kutimiza lengo la michuano na kila mtu anajua kuwafunga Ivory Coast uwanjani si kazi ndogo hivyo kama vipi tuanzie kabisa nje ya uwanja. Jamani hamjawahi ona viwanja vikubwa kabisa huko...
  6. CHOVELA

    Live Updates: Morocco Vs Tanzania leo, 8 June 2013 uwanja wa Stade de Marrakech

    Wadau kuna mtu kanipa taarifa Supersport Select-Channel 233 wanaonesha. Tusaidiane kuhakiki hizi taarifa basi Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  7. CHOVELA

    HAMIS Kigwangalla: Jana Rais Kikwete aliniachia kiti, nikakaa na marais wengine. Can u belive that?

    Kwako personally,hongera sana but remember I have considered u personally. Hata angekuwa kijana mwingine yeyote lazima angejisikia fahari Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  8. CHOVELA

    Please naombeni msaada

    Wadau natumia Blackberry 8520 na nimekuwa nikitumia app ya Jamii Forum kwa kipindi kirefu bila tatis=zo lolote ila ni kama toka wiki iliyopita inanigomea kabisa. Niki-log in kwa kupitia kwenye Computer haileti tatizo lolote ni kwenye simu tu. Nimejaribu kui-uninstall na kudownload nyingine...
  9. CHOVELA

    Please naombeni msaada

    Wadau natumia Blackberry 8520 na nimekuwa nikitumia app ya Jamii Forum kwa muda mrefu bila matatizo yeyote ila ni kama wiki sasa inagoma kabisa, nimejaribu kuitoa na kuidownload tena lakini mambo ni yaleyale. Lakini niki-log in kwa kupitia kwenye Computer kunakuwa hakuna tatizo lolote. Please...
  10. CHOVELA

    Kama unafikiri wanawake hawana ndevu muangalie huyu je hana ndevu?

    Editing hii bana. Hiyo picha ilikuwa ya Angeline Jolie then imetiwa mbwembwe na editor
  11. CHOVELA

    Msaada unahitajika haraka: Binti kagonganisha wanaume ..(best yangu na mwanaume mwingine)

    Kwa situation hiyo huyo jamaa hawezi fanya lolote, miaka miwili watu wanagegeda tu huyo demu si kidogo. Halafu hata huyo demu hatakuwa na amani tena kwenye huo uhusiano unless ni mzoefu kwenye game hizo.
  12. CHOVELA

    Msaada unahitajika haraka: Binti kagonganisha wanaume ..(best yangu na mwanaume mwingine)

    King'asti hilo suala ni huyo dada kushindwa kujitambua anahitaji nini....Kwani kama anampenda huyo mshkaji wake si amwambie anataka nini alichokuwa anapata kwa X wake? Au mpaka leo watu wanaogopana? Mtu kama huyo anaweza akalia kabisa na kuapa kwa majina yote kuwa hatorudiana na X wake lakini...
  13. CHOVELA

    Msaada unahitajika haraka: Binti kagonganisha wanaume ..(best yangu na mwanaume mwingine)

    Du! Kwanza mpe pole sana huyo mshkaji. Ila ndio mambo ya watoto wa kike sometimes huwa ni kama hawajitambui mpaka zinapotokea ishu za hivyo ndio anakuwa kama katoka usingizini. Mtu kukudanganya for two years imezidi aisee,huyo hawezi shindwa kuendelea kudanganya huko mbeleni. Dawa ni kutupa kule...
Back
Top Bottom