Recent content by chopspuro

  1. C

    Magufuli duniani Leo

    Fatilia kipindi cha Dr Mumbi anavyotembelea miradi mikubwa kwenye youtube channel yake na angalia comments za watu wa mataifa mbalimbali wanavyo iongelea Tanzania na Rais Magufuli in a positive way
  2. C

    Membe for presidency? That’s just another political masturbation

    Sema wewe sio sisi kwenye box la kura unakuwa peke yako
  3. C

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Hapa hujaitaja aina ya mbegu unayotumia wewe.....pls inaitwaje?
  4. C

    Dreamliner ATCL yatumwa Sudan

    That is a charter flight....Atcl itakuwa imekula hela ndefu kama hamna ufahamu na baadhi ya field bora upite kama upepo bila kutoa comment
  5. C

    Aibu kwa Bunge letu: Rais wa Bunge la Afrika akiri tuhumu zilizokuwa zinamkabili

    Naona hukumuelewa vizuri spika wa Bunge letu yeye alichosema ni kumiuta Mh. Masele nyumbani kuja mbele ya kamati ya maadili kujibu mambo ya utovu wa nidhamu aliouonyesha kwa kugonganisha mihimili miiwili ya bunge na serikali ya hapa nchini. Kuitwa kwake hakuhusiani na yale yanayoendelea kwenye...
  6. C

    Je, kulikuwa na ulazima wowote wa NAO/CAG kufanyiwa " ukaguzi maalum" yaani Special Audit?

    Ipo kikatiba ofisi y CAG kufanyiwa auditing angalau mara moja kwa mwaka na Bunge ndo limepewa mamlaka kikatiba kutafuta external private auditing Firm/company kwa ajili ya kukagua ofisi ya CAG
  7. C

    Maggid Mjengwa: Msimamo wa Serikali kuhusu mradi wa Bagamoyo ni Sahihi

    JPM stand firm on this issue ......usipepese macho hata kidogo kwa ajili ya maslahi ya wajukuu zetu in 40yrs to come wakabebeshwa mzigo
  8. C

    Haya sasa, nani mkweli na nani anaihujumu Tanzania kati ya ADB na IMF?

    Huyo achana naye hajui chochote kuhusiana na IMF
  9. C

    Sioni umuhimu wa daraja la Aga Khan - Coco beach kwa sasa

    Serikali haitekelezi miradi kwa ajili ya muda huu pekee ina fanya even for furure ndio maana hata Japan wametengeneza Train inayo kimbia km 360 per hour lakini itaanza kutumika by 2030
  10. C

    Serikali: Biashara 16,252 zafungwa na 147,818 zafunguliwa kwa kipindi cha Julai, 2018 hadi Aprili, 2019

    Hawa ni wale wa bendera fuata upepo anaongea with no findings
  11. C

    Alhamdulilah: Matumaini ya Demokrasia yameanza kuonekana tena

    Huna lolote peleka pumba zako huko
  12. C

    Mbombezi wa Uchumi kutoka Kenya Dkt.Mumbi Seraki: IMF ililpanga kuichafua Tanzania kimataifa

    Wewe umeisoma? au ndo walewale wa kulishwa propaganda za wanasiasa mchwara wasioitakia mema nchi yetu
  13. C

    Hatimaye Serikali ya rais Magufuli Pumzi imekata, moja haikai mbili haikai

    JPM will never listen to nonsense, he sticks to his priorities as he campaigned on CCM manifesto of 2015-2020
Back
Top Bottom