Kwa maoni yangu watumishi wote wa afya waongezewe sio madaktari pekeyao lakn sio kwa kiwango pendekezwa hapo juu,
Pia naona hao maofisa wa tra na taasisi zingine za serikali wapunguziwe mshahara na marupurupu yao ili fedha nying ipelekwe kwenye mambo ya kimaendeleo na sio matumiz ya serikali
Kwahyo unaamini ukisoma Masters utapata kazi nan?!,,Ila kwakua elimu haina mwisho sawa.
Lakn mm nakushauri hyo hela fanaya mtaji kwa kujiajir. Alafu kumbuka kujiajir kunalipa sana kuliko kuajiriwa
Waje na huku namtumbo wako wengi, Ila ulafi na uloho wa maafsa uhamiaji ndio uliotufikisha hapa, kuna lundo la wageni wengi kwenye nchi unknowingly,
Inashangaza nchi masikini nayo inaaajiri wageni wakati raia wake hawana ajira.
My suggestion, kama kajiuzulu kwa ubadhilifu hasilipwe kabisa, na Kama akistaafu kawaida apewe pensheni kama wafanyakazi wengine basi, haina haja ya kumlipa mtu hasiefanya kazi
What I know ,maisha yataenda bila lissu,, kwa kifupi nmemtoa na kum'delete akilini kwangu.
Naomba msinishangae mm Nina allergy na mtu mnafiki. Mtu mnafiki hawezi kutufikisha popote na sio kipenzi cha mungu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.