New Dar Master Plan to render millions homeless

New Dar Master Plan to render millions homeless

Tubanda twenyewe tutakua labda 500,000.
So 500,000x$100,000=50,000,000,000/=
Hivi kagesi ketu hakatoshi kulipia hili zoezi?
Mbona ni tujisent tu huto jamani?
Wakupime Akili, Sio BURE, Kama Sio SIGARA BWEGE, Basi Malaria Inapanda Kichwani!!! Kuna Kibanda Cha Laki 5 Au Mil. 5 Hapa Mjini Ambacho Utaweza Kujenga!!! Hicho Kiwanja Ni Kiasi Umenunua!! Basi Kila MTANZANIA Angekuwa Na Nyumba Ya Kuishi!!
 
Tutakuwaje na masterplan ya jiji inayodumu miaka 20 tu? So kila baada ya miaka 20 tunaibadili na kuiboresha? We cant be serious! Wenzetu wanazo plan za miaka 100 sisi tunaongelea 20? Mungu atusaidie sana
 
Mfano ya nchi gani
 
Hata mim naunga mkojo hoja kuwa jiji la dsm lipangwe upya kwa kubomoa nyumba zote zilizojengwa kwa kutokufuata utaratibu
 
Hata mim naunga mkojo hoja kuwa jiji la dsm lipangwe upya kwa kubomoa nyumba zote zilizojengwa kwa kutokufuata utaratibu

Sijui kama wewe unaongea kabla ya kufikiria au baada ya kufikiria...maana pumba pumba pumba pumbaaaa
 
Wakupime Akili, Sio BURE, Kama Sio SIGARA BWEGE, Basi Malaria Inapanda Kichwani!!! Kuna Kibanda Cha Laki 5 Au Mil. 5 Hapa Mjini Ambacho Utaweza Kujenga!!! Hicho Kiwanja Ni Kiasi Umenunua!! Basi Kila MTANZANIA Angekuwa Na Nyumba Ya Kuishi!!
hahahaha mkuu umenichekesha kweli, hata mm naona malaria imempanda kichwani
 
Tulipenda mabadiliko lakn tujue katka haya mabadiliko lazma kuna watu wataumia
 
Rahisi tu mega mkoa wa Pwani peleka 2/3 ya ofisi za umma uone kama Dar haijawa nyepesi...hiyo master plan iwahusu wajengaji wapya
 
Sometime unashindwa kuamini hivi vitu! Magu anatafuta kupinduliwa. Aliyepaswa kuupanga huu mji ni nani? Nasmini wana mabilioni ya kutosha kulipa fidia!
Mkuu,
Kuwa makini na hizi kauli. Tusiwe tunaandika kwa mihemko na kutaka kufurahisha watu. Hii nchi bado inaongozwa na Kanuni na Sheria.
 
Tulipenda mabadiliko lakn tujue katka haya mabadiliko lazma kuna watu wataumia

Mabadiliko gani ya watu kuumia? Wewe unajua unachoandika kweli? Mabadiliko ni kutoka kwenye udhalili kuenda kwenye utu. Sio kutoka kwenye utu kwenda kwenye udhalili.
 
Mradi mzuri ila pesa za kulipa fidia sijui kama serikali inazo
 
Hii kitu si ya kufanyia masikhara, itatugharimu wengi sana maana naona ni wakazi wachache sana hapa Dar wanaoishi maeneo yaliyopimwa. Sasa angalia mfano hiyo mbezi beach kwamba ni industrial area hapo ni balaa
Vilitakiwa kuwa upande wa tanki bovu? Manake huu upande mwingine ni balaa. Viwanja either ni size ya high au pengine medium density. Ni msongamano wa magorofa.
 
Watu wataangusha serikali kwa mapinduzi ya wananchi.

3.6 m people is more than half of the population.

Upuuzi mtupu.
 
Au wahamishe light industries za mikocheni pale papimwe high density suburb. Isitoshe kuna viwanda vya chuma na mabati ambavyo kiukweli ni heavy industries.
 
Mliojenga Maeneo yasiopimwa, na Maeneo yaliokatazwa, better read this 👇👇

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY

Hii maana yake ni kwamba zaidi ya robotatu ya nyumba zilizipo Dar zitabomilewa kwani wengi wa waliozijenga ni watu wa kipato cha kawaida wasio na uwezo wa kununua viwanja vilivyopimwa!
Swali kubwa zaidi ni je, km sehemu kubwa ya ardhi ya Dar haijapimwa je ni kosa la nani? Pia je, ni sahihi kubadili badili masterplan ya jiji ndani ya miaka 20? These people cannot be serious! Serikali iwe makini na mambo yake isije ikasababisha crisis ndani ya jiji.
ministry of land they believ All the people who built in areas not meant for human settlement and without the go-ahead from the Lands ministry will be deemed as invaders,...is this true?????..,,i bought the land and local government supported me and i provided 10% to the gvt as ushuru,...hawa jamaaa mbona wakatili hivi
 
Mabadiliko gani ya watu kuumia? Wewe unajua unachoandika kweli? Mabadiliko ni kutoka kwenye udhalili kuenda kwenye utu. Sio kutoka kwenye utu kwenda kwenye udhalili.
Kuna watu walikua wanaishi bila kufuata sheria na kupenda shortcuts hao ndio wataumia katka safari hii ya mabadiliko
 
Bi
Hata mim naunga mkojo hoja kuwa jiji la dsm lipangwe upya kwa kubomoa nyumba zote zilizojengwa kwa kutokufuata utaratibu

Bila Shaka wewe ht banda tu la chumba kimoja huna,,
 
Back
Top Bottom