Recent content by Chona

  1. Chona

    Yanga akifungwa leo nipigwe ban mwaka mzima

    Moderator Atendewe sawasawa na hitaji lake
  2. Chona

    Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe Ban kwa miezi 6

    Moderator Utendewe sawa na takwa lako
  3. Chona

    Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe Ban kwa miezi 6

    Moderator Utendewe sawa na ombi lako
  4. Chona

    Utumiaji wa makampuni ya consultants katika miradi ya maji ni upigaji na matumizi mabaya ya fedha za Umma

    Nadhani mtoa hoja hajui umuhimu wa consults na hajui wanapatikana kwa njia gani. Huwezi kusema tu kwamba mradi wa kijiji kimoja consultant analipwa mabilioni ya pesa. Wakati wa kuomba kazi consultants wanaandika technical proposal na financial proposal zao. Team ya client ambao ni wahandisi...
  5. Chona

    Kusuasua kwa ujenzi wa barabara ya lami toka Chuo Kikuu Ardhi kwenda Goba

    Barabara hii imekuwa kwenye ukarabati kwa muda mrefu sasa. Lakini kwa miezi kadhaa sasa toka ujenzi uanze kumekuwa na kusuasua. Kitu cha kushangaza hakuna hatua inayopigwa na hivyo kupelekea usumbufu kwa watumiaji na wakazi wa pembeni mwa barabara hiyo kutokana na vumbi kubwa linalotimuliwa na...
  6. Chona

    CHADEMA wakaziwa na Umoja wa Waandishi wa Habari Kanda ya Pwani

    Sisi tuliokuwa nyumbani tukiangalia uzinduzi wa kampeini za CDM kupitia TBC1 tunajua kero tuliyosababishiwa na TBC1. Hakukuwa na namna nzuri zaidi ya kuwataka waondoke. Kuondolewa kwao, pengine kuliwasaidia kujua namna nzuri ya kuchukua na kurusha matukio mubashara. Unaweza kuona utofauti...
  7. Chona

    CRDB, fanyieni kazi tatizo la business transactions, nmeshindwa kupata huduma

    Hili neno kwa CRDB limeshakuwa kama wimbo wao wa kazi. Kila ukienda Bank yao utakuatana na hii habari "mtandao upo chini". Mbona mitandao ya bank zingine haiendi chini. Wao wanaweza wana nini kiasi kwamba ninyi mmeshindwa, mnabaki kubahatisha. My advice: Employ competent people who can serve...
  8. Chona

    Polisi wanaruhusiwa kumlinda mchungaji madhabahuni wakati ibada ikiendelea?

    Japo leo sikutazama ila mara nyingi mhubiri wa kanisa hilo huwa anahubiri akiwa amezungukwa na body guards 2 nyuma yake. Japo nao huvaa nguo nyeupe kama yeye. Lakini utaona kila mara wakijitahidi kucover nafasi zao pale anapokuwa ana tembea huku akihubiri madhabahuni. Walinzi wake ni kijana 1...
  9. Chona

    Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Kabla sijakuweka kwenye list ya watu niliowa-ignore whenever I see there posts naomba unihakikishie kuwa upo vizuri upstairs. Ikiwa hao uliowashuku ndio walifanya matukio kama unavyodai ni nini kazi na wajibu wa polisi basi? Mbona kwa muda wote wameshindwa kuwakamata na kuwafikisha kwenye...
  10. Chona

    UHAMIAJI: Wafanyakazi 18 watimuliwa kazi, picha zao zaanikwa hadharani

    Ni mapema sana kujua sababu ya wao kuondolewa. Hizo ulizotoa zaweza kuwa hisia zako licha ya wewe kuziita tetesi Ikumbukwe kuwa mkuu wa nchi aliiagiza Uamiaji kujisafisha yenyewe baada ya kuwa na ongezeko la wahamiaji haramu kuongezeka na wengine kukamatiwa katikati ya nchi huku wakiwa wamepita...
  11. Chona

    Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

    Badala ya kutumia colour kama inavyoandikwa kwa British English basi tumia color kama inavyotumiwa na US English. Nami najaribu. Ikibadilika fanya hivyo kwa kubadili spelling.
  12. Chona

    Mgombea wa Chadema Kinondoni Salim Mwalim si mpiga kura Jimbo la Kinondoni

    Wakati Rais Dr. Sheini ameenda kugombea Zanzibar 2010 alikuwa mpiga kura wa wapi kama una kumbukumbu nzuri? Je alijipigia kura? Jibu ni HAPANA Kutojiandikisha jimbo hilo sioni kama ni sababu kubwa na hasa ikiwa mtu anasababu za maana ambazo nadhani Mwalimu anazo. Hata rais wa sasa...
  13. Chona

    Rwanda kutoa VISA on arrival, ongezeko la 150%

    Hivi visa on arrival kuna mtu anaweza kukosa sifa ya kupewa Visa?
  14. Chona

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Shukrani sana kwa mwazilishi wa uzi huu mkuu Kipilipili . Shukrani pia ziwafikie Software Engineer na socrate jr pamoja nawatu wote mlioshiriki toka mwanzo katika mjadala huu kwa kuchangia na wengine kuuliza maswali. Laiti watanzani wengi angekuwa na moyo huu wa kupeana taarifa kwa mambo...
  15. Chona

    Kama unahitaji vitabu vya advanced level physics njoo PM tuyajenge

    Kwanini usirushe hapa ili watu wapate wengi kama vile wewe unapapata vitabu vingine bure vinavyowekwa na wadau. Kama si bure basi ungeenda direct kwenye point ili watu wajue kuwa offer ni watu wachache kisha utaanza kuuza baada ya kuona mwitikio wao.
Back
Top Bottom