Eti mkuu samahan naomba unijibu swali hili kama una utaalam nalo,nimepokea msg inayoonesha nadaiwa kodi na tra lkn sijawah kujisajili ktk mfumo wwte rasmi kwao ila TIN hii imetumika ktk kufungulia line za uwakala,ktk kupata lesen ya manispaa na pia ktk malipo ya tbs ambapo kuna wakat walipita...
Nifundishe jinsi ya kumpata roho mtakatifu,nifundishe namna ya kuomba msaada kwa roho mtakatifu,nifundishe ni nn napaswa kuomba kwa roho mtakatifu,nn napaswa kuomba kwa Yesu kristo,nn napaswa kuomba kwa Mwenyezi Mungu baba wa mbinguni..
Ngoja nikusaidie kidg kwasababu nimewahi kufanya kazi kiwanda cha magodoro...
Kiwandan yanatengenezwa magodoro aina nyingi na kila aina ina warranty yake,kuna mwaka mmoja kuna ya miaka minne mpk 12..kampuni mara nyingi hutangaza chapa moja tu ambayo inabeba brand ya kampuni hyo pekee ndo hukupa...
Kiufupi nijuavyo mm..
Ukiacha kazi kwa hiari yako hupati,unaambiwa katafute kazi au subir miaka 55..
Ukiachishwa kazi na ukawa na barua ya kusitishiwa mkataba utalipwa..
Mkataba ukiisha na hakuna pande yyte ipo tyr kuendelea na mwenziwe kati ya mwajiri na mwajiriwa utalipwa,japo huwa nasikia...
Wakuu habari zenu,
kuna swali nataka kuuliza wenda lishajibiwa huko nyuma ila kwakuwa mm ndo naingia leo kwa uzi huu itakua poa mkinifahamisha..
Naomba kujua ipi tofaut kati ya sound bar na home theater ..
na pia ipi ina ubora kuzid mwenzake kati ya hzo..kwa mfano sony sound bar ya watt 1000...
Kiumri ww ni unaweza kuwa babu yangu kabisa,lkn nashangaa umeshindwa kufikiri vizur mpk ukaandika maneno hayo..inawezekana uhalisia unaujua ila unajitoa ufahamu sababu ya siasa..
Iv ni kweli mbowe anaweza kukubali rushwa ipo ndan ya chama kirahisi tu! au ametoa uthibitisho gan uliomvua nguo...
Nancy mitikisiko alikua balaa,ile blog ailiiacha kama pango tu baada ya sheria ya makosa ya mtandao kupitishwa rasmi nae akatangaza kuachana nayo..
Kuna wazir aliwahi kumtumia hela ya laptop mpya milion 4 ili aendelee kushusha vitu ni baada ya kwake kuharibika nadhan
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.