nmeisoma pdf imenifanya nitamani kulima hilo zao lakini sina ABC za shamba napataje pa ningependa kujua kwa kuanza unashauri atlist mtu aanze na heka ngapi ndo atapata faida na kwa makadilio katika hzo heka natakiwa niwe na shiling ngapi za kuanzia???
Hiyo 5m haitoshi mkuu kuku mmoja kwa wastani anakula 15,000 mpaka 16,000 so kuku 1000 wa mayai inatakiwa uwe na milioni 16 mpaka wanapoanza kutaga miezi mitano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.