Multdealer
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 226
- 233
Habari zenu wakuu,
Nataka kuanza kuuza maandazi, yale ya mia mia. Ila Kuna kitu sikijui katika hii biashara.
Hivi itanihitaji unga kiasi gani kutoa maandazi 200,
Vipi kuhusu sukari, maziwa, hamira, mafuta, baking powder.
Naomba mwenye kujua mchanganuo wake anisaidie kunichanganulia.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app