Upatikanaji wa soko la pumba za mahindi

oruguyo

Senior Member
Jul 28, 2012
130
35
Ndugu wana jamvi naomba Kutumia nafasi hii Kufahamishwa ni kwa jinsi gani ninaweza kupata Soko la Uhakika la Pumba za Mahindi, Pia namna Bora ya kuendeleza biashara na kuongeza thamani ya nafaka ikiwemo Mahindi, Karanga, pia Mchele.

Kwa upande wa pumba za Mahindi Mpaka sasa nimekusanya gunia (120) Mia moja kwa mawasiliano 0765780307 au 0785749953. Geita katoro au ushirombo bukombe.
 
Ndugu wana janvi naomba Kutumia nafasi hii Kufahamishwa ni kwa jinsi gani ninaweza kupata Soko la Uhakika la Pumba za Mahindi, Pia namna Bora ya kuendeleza biashara na kuongeza thamani ya nafaka ikiwemo Mahindi,Karanga,Pia Mchele. Kwa upande wa pumba za Mahindi Mpaka sasa nimekusanya junia (100)Miamoja
Kwa sasa unapatikana mkoa gani na unauza sh. Ngapi?
 
Ndugu wana jamvi naomba Kutumia nafasi hii Kufahamishwa ni kwa jinsi gani ninaweza kupata Soko la Uhakika la Pumba za Mahindi, Pia namna Bora ya kuendeleza biashara na kuongeza thamani ya nafaka ikiwemo Mahindi, Karanga, pia Mchele.

Kwa upande wa pumba za Mahindi Mpaka sasa nimekusanya gunia (100) Mia moja
Unauzaje na uko wapi
 
pumba za mahindi kwa mwenye uhitaji,Katoro Geita 0713148453.
 
Pumba za mahindi
IMG_20200409_163905_2.jpeg
IMG_20200622_144320_8.jpeg
 
Back
Top Bottom