Anaefahamu kufanya manunuzi kupitia Alibaba App au WEBsite

DeluxeP

New Member
Apr 15, 2020
1
0
Wadau naomba msaada kwa yeyote anaefahamu kufanya manunuzi kupitia Alibaba App au WEBsite.

Msaada tafadhali.
 
Mkuu kwa AliExpress pale kwenye
Confirm oder kuna promo code hua unajaza. Nn

god is good
kama hauna hiyo code unaacha wazi (hiyo ni code ya mtu aliyekushawishi ununue bidhaa)
hakikisha unapitia vizuri customer review, kuangalia kama anapositive review ama -ve ndiyo nyingi
 
Ahsantee mkuu

god is good
 
Ninataka kuorder simu lakini bei yenu Duh sio rafiki
Karibu unique aircargo mabigwa wa usafiri wa mizigo kutoka china kwenda nchi za afrika

Tukiwa na uzoefu wa miaka zaid ya mitatu ya usafirishaji wa mzigo kutoka china
Tunatoa huduma zifuatazo

1 kuwasiliana na supplier wako
2 kumsaidia mteja kununua bidhaa kwa bei nafuu kuliko anayoiyona kwenye alixpress na Alibaba

3 kusafirisha bidhaa kutoka china kuja Tanzania kwa bei nafuu na kwa muda usiozid wiki mbili

4 gharama zetu zinajumlisha pamoja na tozo za ushuru wa ndan
5 bidhaa za kawaida kilo moja n dola 13 pamoja na ushuru

6 vilipukizi n idola 15(lithium battries)
7 simu ni idola 20 kwa moja

ofisi zetu zipo kariakoo mtaa wa pemba na livingstone jengo la bisnlum plaza na china tunapatikana 广州市荔湾区 岭南湾畔 西湾路.湾畔大街C1栋1206 (马查)1861733515
unaweza kutupigia kwa namba 0652472486
au kubonyeza hii link ya group yetu
 
Link iko wapi tujoin group

Alibaba wamejaa matapeli kama hauko vizuri kichwani utajikuta umeshawishiwa kutuma pesa kwa w/union au personal acc
 
Back
Top Bottom