Babang mdgo alio mmachane...aisee ni hatari
Siku anafariki Ile tupo hospital anafariki tu
Akakimbia akawasha gari akaondok ikabidi tumfatilie labda anauchungu sana anaweza kujidhuru alooooo...[emoji23][emoji23][emoji23]
Kakimbia nyumbani chap akatoa card za magari na hati za nyumba akahamisha...
Watanzania hawana shida na Chadema Wala CCM
Watanzania wanahitaji maendeleo Hasa sehem za vijijini
Hakuna
Maji
Miondombinu mibovu
Rushwa imekaa kweny taasisi za selikali
Ukosefu wa ajira Kwa vijana wengi
Ubadhilifu wa Mali za umma
Siasa Bora ni zile zinazotoa majibu Kwa wananchi sio kuzima...
Jibu hoja fanya hivi wewe mtajie faida
Muelimishe ambapo unaona Hana Elimu ya mwenge..
Tafdhari jibu hoja sio kumshmbulia mtu
Inawezekana ukimulimisha wewe Leo ataelewa kma wewe ulivyo Elewa.
Mjibu faida za kuzungusha mwenge wa uhuru Tanzania nzima!
Mpe faida usitukane na kumdhihaki!
Kilimo inatakiwa uwe na roho ngumu kama legelege...itakua ngumu sana!
Mfno Mkoa wa Ruvuma mwaka Jana Mahindi yalikua Tsh 900-1100 Kwa kilo
Mwaka huu mda huu ninavyo ongea kilo
Tsh 450-560 na selikali IPO busy na maandamano ya Chadema!
Wakati wa kivuna hapa nazungumzia Mkoa wa morogoro wilaya ya malinyi
Gunia hufika had Tsh 45000
Inatakiwa uweke kambi wewe mwenyewe
Kama mwezi mil 10 ni kama gunia 220
Gunia Hilo Hilo la mpunga unaweza uza had elf 90 had laki na 20.unawez uzia hpo hpo Kijiji au unasafirish.
Pia unaweza kununu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.