Ziko Baa mzee, ninazozifahamu ni mbili, hii inayopiga muziki mkubwa sidhani kama inastahili kuitwa Baa, inabidi afanye maboresho kidogo. Kasanga si uswahilini unavyofikiria mzee watu wanatupia majengo ya maana mzee, Kuna nyumba za maana huku.
Ni kweli hali ni ngumu, basi aweke sauti ya kawaida tu wateja wake wanywe hizo bia. Kuliko kufungulia hayo maspika yake FULL VOLUME yalete kero kwa majirani. Mzee ni shida kuishi karibu na hii Baa!
Kwa masikitiko makubwa nawakilisha hii taarifa kwa viongozi wa ulinzi na usalama wa Morogoro.
Hapa katika kitongoji cha Kasanga, nje kidogo ya mji wa Morogoro kuna Baa moja inakera sana.
Nasema inakera sana kwa sababu ya SAUTI KUBWA YA KUPITILIZA YA MUZIKI WANAOPIGA.
Wanatumia MASPIKA makubwa...
Namshauri asiwe na mtazamo wa jogoo wa kuchakuwa na kula.
Maisha si leo, Maisha ni Jana na kesho! Aangalie future yake! Suala si kupata mshahara mkubwa leo. Nafikiri suala ni kuangalia ya " kesho" katika sehemu zote mbili.
"Kesho" ya kuwa serikalini ni nzuri zaidi kuliko hizo shule binafsi...
Acha kumkatisha tamaa binti wa watu! Hilo Ni pepo la kukata tamaa! Hata Diamond aliambiwa hajui kuimba! Hamonizer naye je? Si aliambiwa hajui kuimba. Mwache ahangaike Kuna siku atafaulu tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajakuwa vilaza hivyo unavyowafikiria wewe, na usijifanye wewe unajua zaidi yao! Waache wachape kazi, au wewe ulikuwa kwenye dili hilo nini? Unajifanya unaliangalia Hilo suala kwa jicho la tatu kumbe "dili lenu limekwama" [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie bubafsi siioni hoja ya kutuletea humu jf tujadili kwa sababu za msingi zifuatazo;
1. Anaposema nyerere alisaini hukumu ya kifo cha mwamwindi haraka.
- mtoa maada anaposema haraka, ana taarifa Ni siku ngapi Nyerere alisaini toka pale alipohukumiwa. Na anafikiri ingesainiwa siku ngapi baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.