Maajabu; Baa kuwa ukumbi wa muziki Morogoro

chiuta

Senior Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
103
Reaction score
83
Kwa masikitiko makubwa nawakilisha hii taarifa kwa viongozi wa ulinzi na usalama wa Morogoro.
Hapa katika kitongoji cha Kasanga, nje kidogo ya mji wa Morogoro kuna Baa moja inakera sana.

Nasema inakera sana kwa sababu ya SAUTI KUBWA YA KUPITILIZA YA MUZIKI WANAOPIGA.

Wanatumia MASPIKA makubwa na wanaweka FULL VOLUME kuanzia saa NANE mchana mpaka saa SITA usiku KILA SIKU hawana siku za kawaida au za weekend! kila siku mwendo ni huo huo. Hizo kelele za muziki wao zinasikika mpaka nusu kilometaa!

Mimi najiuliza yafuatayo;
- Huyu mmiliki wa baa hajui sheria za nchi zinazohusu upigaji kelele wa aina hiyo kwenye makazi ya watu?

- Hivyo hiyo Kasanga hakuna KIONGOZI aliyoona udhaifu huu na AKAUKEMEA?

- Hivyo Sheria zipo vipi kuhusu hiki kitendo anachotufanyia huyu bwana?

- Hivyo KASANGA hakuna wana USALAMA au WAHUSIKA wa kuzuia hiki kitendo.

Uongozi wa wilaya ya Morogoro hebu fuatilieni hili suala muone ukweli wake, hasa kuanzia saa MOJA MPAKA SAA SITA usiku inakuwa KERO KUBWA.

Sisi majirani wa hii BAA huwezi ukasikia vizuri ukipigiwa simu au ukifungulia redio yako huwezi kusikia kabisa kinachotawala ni mamiziki ya huyu Bwana. JAMANI IMEKUWA KERO [emoji24]

VIONGOZI WA MOROGORO TUSAIDIENI KUMUELIMISHA HUYU BWANA ANATUKERA KUGEUZA BAA KUWA UKUMBI WA DISKO.

Kwa utambulisho hiyo baa ina mashine ya kukoboa na kusaga.
 
Mkuu msamehe bure, hali ya uchumi ni ngumu mno, hapati faida ameamua atoe stress Kwa muziki mnene ...
 
Ni kweli hali ni ngumu, basi aweke sauti ya kawaida tu wateja wake wanywe hizo bia. Kuliko kufungulia hayo maspika yake FULL VOLUME yalete kero kwa majirani. Mzee ni shida kuishi karibu na hii Baa!
 
Kasanga Kila siku polisi usiku wanakuja inamaana hawajaona hiyo kero? By the way Kasanga Siku hizi Kuna Bar? Maana vilikwepo Vigrocery vidogo vidogo tu.
 
daah mkuu kasanga ni uswahilini hivyo vitu ni lazima viwepo, kwanza ni nje ya mji.
 
Ziko Baa mzee, ninazozifahamu ni mbili, hii inayopiga muziki mkubwa sidhani kama inastahili kuitwa Baa, inabidi afanye maboresho kidogo. Kasanga si uswahilini unavyofikiria mzee watu wanatupia majengo ya maana mzee, Kuna nyumba za maana huku.
 
Nasikia panatakiwa kuvunjwa pote hapo sio eneo la makazi, ni kweli?
 
Jamani kilio changu kinaendelea WAMEANZA KUPIGA MAMIZIKI YAO KWA SAUTI YA DISCO. JAMANI MTUHURUMIE. SASA HII SI BAA BALI NI UKUMBI WA DISKO.
Mkuu punguza kulialia!!

Acha watu wafanye kazi!
 
Back
Top Bottom