Recent content by chiungutwa

  1. C

    Dr. Bana kuwepo kwenye baraza jipya la mawaziri

    aisee osokoni umeongea lakini naona kama hicho kidonge ulichompa hakimtoshi...muongeze akome kuleta post ambazo hata hazieleweki...kuna watu vilaza dunia hii acha tu...wewe hapo mlimani sijui unafanya nini...ni mwanafunzi au?ukijibu hilo naweza kukuelewa kidogo..maana uwezo wako wa kufikiria...
  2. C

    KIBONDE: waandishi wa habari kama habari inaelekea kuhatarisha maisha yako achana nay

    wewe uliwazaje uliposikia mpaka ukaamua kuandika hii post?
  3. C

    Lema 'aichana' Idara ya Usalama wa Taifa

    ebwana tunasubiri muendelezo wa hii movie kesho ndugu......
  4. C

    Wizara ya Nishati na Madini yaibiwa

    ===source pls...
  5. C

    Wizara ya Nishati na Madini yaibiwa

    mmmmmmmmmmmmh
  6. C

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    =kwa mtazamo wangu nakuunga mkono asilimia mia mbili aisee ni aibu sana sidhani kama kuna serikali duniani kama tanzania cdhani.
  7. C

    Job Ndugai Umetukatisha Tamaa

    na bado mtasema sana....mpaka 2015 hata hiyo pilau mtakuwa mshasahau ladha yake.....lakini ndo mjifunze sasa msirudie makosa hahahahahahh jamani inasikitisha lakini matatizo mengine tunajitakia wenyewe wadau...
  8. C

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    sasa kwa kweli tanzagiza tumefika pabaya..... kwa hali hii ccm inabidi ijipange sawa sawa 2015 otherwise................najua jibu mnalijua. yaaaani siku yote imeshaharibika kweli nimeamini hakuna serikali duniani yenye suprises kama tanzagiza.
  9. C

    Kwa hili la TBA Mhe. Magufuli umekosea!

    inavyoonekana kuna jambo hapo ila mdau kama ulivyotoa wazo tuache vyombo husika wafuatilie mwisho wa siku tutajua tu mbivu na mbichi.
Back
Top Bottom