Recent content by chiumbimnungu

  1. chiumbimnungu

    Mwenye pikipiki kibao cha mbuzi tuonane

    Nahitaji Pkpk inajulikana km kibao.naihitaji iliyotumika kidogo tuwasiliane
  2. chiumbimnungu

    Kuna anaemzidi Dj Murphy kwa kutafsiri season?

    Watanzania kwa kuponda vya kwao hamjambo. Hawa jamaa wengi wao kwa sasa wapo vzr na makini sanaaa sema kuna watanzania washamba wanahisi wakisifia wataonekana washamba acheni kufake maisha mnapenda Sana kuangalia ila mnajifanya uzungu wachenii hizo maphy yupo vzr %100
  3. chiumbimnungu

    Benki Kuu (BoT) yazifutia leseni benki kadhaa. Zimo Efatha Bank na Covenant Bank

    Bora tubaki na bank za simu sasa tigo pesa mpesa na wenzao huko hakufai sasa
  4. chiumbimnungu

    Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

    Nahisi ni ile ilimwambia Rais kuwa atafutwa akienda kuombea baada ya Rais kusema niombeeni
  5. chiumbimnungu

    Milioni 25 naweza pata gari gani kati ya hizi?

    Huwezi kuwa na milioni 25 halafu uje kuomba ushauri humu hebu kasikilize mahubiri huko
  6. chiumbimnungu

    Makame Mbarawa kwa mwendo huu unastahili sifa unaijenga Dar es Salaam Safi

    Umekosea mtoa maada hiyo wizara haiongozwi na makame mvarawa inaongozwa na baba Jesca Mwenyewe
  7. chiumbimnungu

    Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?

    Shida mkianza kuhojiwa ccm kiwango cha elimu zenu mnatekana
  8. chiumbimnungu

    Usimkubali wala kumvumilia mwanaume asiye na pesa

    Ila umesahau kuwa wanawake wenzio siku hizi wanahitaji zaidi masshine wengi wao wanatafuta mwanaume wa kuwapiga mashine na wengi wao siku hizi ndio wanalipia kila kitu.
  9. chiumbimnungu

    Kitendo cha Rais Magufuli kutoshiriki katika kuwaaga Makamanda 14 wa JWTZ waliouawa DRC...

    Walimu si ndio wanalinda kula zake wakati wa uchaguzi
  10. chiumbimnungu

    Ni kweli goli 1 ni sawa na kukimbia uwanja Mara 14?

    Julize wewe Mwenyewe ukimaliza ni kweli unachoka kiasi cha kuamini hivyo?? Inamaana nikigonga Mara 5 ni sawa na kuzunguka mara 70? Weeeeeeeeeee
  11. chiumbimnungu

    Kama sikupata UKIMWI Kwa Mazingira yale Basi nalindwa na Mizimu ya Mababu zangu

    Kawaida sanaaa.. Halafu umempa lawama za bure bimkubwa wa watu
  12. chiumbimnungu

    David Kafulila ahojiwa Azam TV kuhusu kuhamia CCM

    Naona tunaelekea kurudi kwa kasi kuelekea chama kimoja sasa
Back
Top Bottom