Recent content by Chitenga

  1. C

    Dr Ndalichako ana maana gani aliposema atawatoa watu vyuoni?

    Wengi wao walikuwa hawana ufaulu wa sayansi na kigezo ni div i&ii wengi wao walipass div iii hivyo ni jipuuu
  2. C

    Kwako Profesa Ndalichako

    Hili tamko linahusu wenye vyeti vya kugushi na kusimamia sheria mpya 2016/2017
  3. C

    Hivi hawa tcu na nacte wanampango gani na walimu

    Endeleeni na kazi kwn kutakuwa na mfumo wa moja kwa moja TCU ukitokea kazini
  4. C

    Ajira za walimu zitatoka lini?

    Vp shemei yako yupo tamisemi??
  5. C

    Ajira za walimu zitatoka lini?

    Ndio huyu jamaa ni mhaya mimi namfaham...Nuksi sana alafu ukute ndio yuko ktk wale hewa...cheti cha shemeji
  6. C

    Uhakiki wa watumishi hewa utamalizika lini?

    Muda si mrefu mambo yatakuwa sawa..mvumilivu hula mbivu kijna..loading...soon get well.
  7. C

    Ukawa, magereza yanatosha, mtaenea vizuri Tu!

    Tuwe waelewa hili sio jukwaa la kisiasa
  8. C

    Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    Awike asiwike kutakucha tu hata mwakani poa tu
  9. C

    Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Yaaan kila kukicha hii serikali inakuja na jambo jipya yaaan duuuuuuh hatari sana
  10. C

    Ajira za walimu zitatoka lini?

    Mvumilivu hula mbivu muda ukifika watatoa ajira zenu maana hii serikali mpya lazima wajipange ktk mifumo yake
  11. C

    Hivi walimu tumeongezewa kiasi gani kwenye bajeti hii?

    Bado walimu nyongeza yenu mpaka derikal itakavyo jizatit kwa kukusanya kodi na kuongeza mapato
Back
Top Bottom