Ajira za walimu zitatoka lini?

Ajira za walimu zitatoka lini?

Mvumilivu hula mbivu muda ukifika watatoa ajira zenu maana hii serikali mpya lazima wajipange ktk mifumo yake
 
Sasa lip bora,kuachwa bila ajira au kuajiriwaprimary maana hapa sasa walimu wapo mashalani haswa wa sanaa kwa ngaxi ya stashahada
Kama ambavyo huwezi kufanyia kazi fani ambayo hujaisomea ndo vivohivo ilivyo ngumu kwa mwalimu wa sekondari kufundisha primary......

Kila kitu kina utaratibu wake so haitoweza kutokea labda viongozi wawe hawajui taratibu(protocol) za ualimu.....

Na kama ikihitajika ni lazima warudi shule kwanza!.....
 
Sasa naona mtaanza kuamini wandugu,tafuteni shughuri zengine msisubiri ajira,zikitoka mtafahamishwa but kwasasa aaaaaaaaaah Ni mwendo wa kusoma namba tu.
 
JK uko wapi??? tumekumiss hukuwaga na hiyana kwenye ajira!
 
Sasa lip bora,kuachwa bila ajira au kuajiriwaprimary maana hapa sasa walimu wapo mashalani haswa wa sanaa kwa ngaxi ya stashahada
Mimi nilitegemea hawa waje primary. Kiukweli shule za msingi vijijini hazina walimu katika shule nyingi
 
Hivi kwa ucheleweshaji huu ,kuna uwezekano wa kuajili walimu wote waliohitimu 2015 au ndo kama kawaida kuna upembuzi?
 
We Sir j uliyemaliza UDOM kuwa mvumilivu na kufanya mishe zako tu kwa sasa!!
 
Huko tunakoelekea ualimu siyo njia ya mteremko tena ya kuajiriwa kirahisi!!
 
Jiajilini wenyewe au nendeni private school, fungueni tuition center kuna mambo mengi ya kufanya sio kusubiri hiyo ajira ya laki tano
 
Back
Top Bottom