Ukawa, magereza yanatosha, mtaenea vizuri Tu!

Mpunilevel

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
3,140
1,871
Nashauri mue waelewa. Hayo magereza mnayotaka yapanuliwe si kwenu kina mboe nakabinet yako.
Unataka yapanuliwe kwa ajili ya watoto wa wenzio, wadangaye.
Magereza yanatosha kutoa torture kwa wasiopenda kutii sheria bila shuruti.
Hatupanui ma Magereza nyie leteni utani mjue dola ipo
 
Wewe naye ni msomi tena pengine unajiona mzalendo ?!
 
Mm si msomi. Haya ni mawazo yangu huna budi kuyaheshimu.
Nipinge kwa hoja
We unadhani magereza ni kwa wapinzani tu ?! Nchi ikishakuwa ya hivo mtu yeyote magerezani ni kwake, kumbuka haki itakuwa mbali na watu. Upenzi usiwapelekee kusifia uvunjwaji wa haki za binaadamu.
 
Nashauri mue waelewa. Hayo magereza mnayotaka yapanuliwe si kwenu kina mboe nakabinet yako.
Unataka yapanuliwe kwa ajili ya watoto wa wenzio, wadangaye.
Magereza yanatosha kutoa torture kwa wasiopenda kutii sheria bila shuruti.
Hatupanui ma Magereza nyie leteni utani mjue dola ipo
Ukiona bundi kaingia mjini ujue.....
 
Mbona tutakwenda wengi huko magerezani kama kusema ukweli ndio itakua sababu hi nchi ni ya democrasia vibaya ni kutukana tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom