Kwako Profesa Ndalichako

Kwako Profesa Ndalichako

Itakuwa una E mbili wewe sio bure.Naona umeanza kunishambulia mimi,badala ya kushambulia hoja.

Ndalichako kashasema haijalishi upo mwaka wa ngapi au upo kazini utaondolewa tu!.Na mimi nasema muondolewe tu kama hamna vigezo.

Mwaka jana na juzi nimeshuhudia watu wenye div 4,wanakuja kuchukua degree,elimu ya wapi hii?.

Serikali haiwezi kufumbia uchafu kisa uliruhusiwa awamu iliyopita,kuna umuhimu gani wakukamata wabadhirifu wa awamu iliyopita kama unadai aanzie hapa?.

Kama ulifisadi elimu na huna vigezo,jiondoe mapema upishe waliosoma na wenye vigezo,wakae mahali panapowastahili.

Inauma kupotezewa muda lakini haina namna lazima muondoke tu.
Hivi kumbe degree ni kuchukuwa?....Elimu ya bongo bana.
 
unajua BRN(Big results Now) ilianzishwa kwa 7bu zipi?mimi nachotaka kusema,Serikali ina mipango mizuri sana.Suala la Vyeti feki(Fogery) ni sahihi kukagua bila limitation ya mwaka gani.
unaposema unajua watu walikua wana Div 4 na walienda chuo,ni kweli wapo hata mimi nawafahamu wengi tu.Ila waliingia kwa mfumo Gani?Kama si Serikali iliyopita iliweka huo mfumo.Hii serikali iliyopo ni ya chama kilekile au wameingia wapinzani?..Contradictions ziko nyingii..
WATANZANIA TUNATAKIWA SASA KUDAI KATIBA,NA SERA YA ELIMU IJULIKANE(education Policy) HATA KWA KIONGOZI YEYOTE YULE ATAKAYEINGIA MADARAKANI ASIMAMIE TUNACHOKIAMINI NI SAHIHI.SIO HUYO KIONGOZI ASIMAMIE ATAKAYO ONA YEYE NI SAHIHI.
Kumbe Tanzania ina watu wenye akili kiasi hiki?Wangekuwepo wengi ingependeza sn.
 
we yan kwa uchungu nilionao nmetamani nikutukane ila mi nikwambie to haya maisha to we uliyepiga misuli ukapata AA hongeraa endelea ila iko siku Mungu atakudhirishia kuwa ukipata usidharau wengine ovaa

Haiwezekani tukeshe kupiga misuli,halafu wengine wanaingia vyuoni na EE mbili,hili halipo kabisa.Hawa ndio wanaosababisha wasomi wote waonekana hamna kitu.

Mama ndalichako kama kuna maiti zilizikwa huku uchunguzi haujakamilika fukua makubali mpaka tuheshimiane.

Teh nisamehe mkuu usinitukane ongeza juhudi.
 
Itakuwa una E mbili wewe sio bure.Naona umeanza kunishambulia mimi,badala ya kushambulia hoja.

Ndalichako kashasema haijalishi upo mwaka wa ngapi au upo kazini utaondolewa tu!.Na mimi nasema muondolewe tu kama hamna vigezo.

Mwaka jana na juzi nimeshuhudia watu wenye div 4,wanakuja kuchukua degree,elimu ya wapi hii?.

Serikali haiwezi kufumbia uchafu kisa uliruhusiwa awamu iliyopita,kuna umuhimu gani wakukamata wabadhirifu wa awamu iliyopita kama unadai aanzie hapa?.

Kama ulifisadi elimu na huna vigezo,jiondoe mapema upishe waliosoma na wenye vigezo,wakae mahali panapowastahili.

Inauma kupotezewa muda lakini haina namna lazima muondoke tu.
Kama ulipiga PCM PGM PCB 2013 na miaka ya nyuma usingeongea pumba hizi wewe.
 
Heshima ya shahada itarud sasa..prof Ndalichako komaa na hili..shahada za kiujanja ujanja zikomeshwe
 
Mtoa mada umeongea kitu muhimu lakini ukosefu wa ajira unawafanya watu wasifikiri kwamba Ndalichako amelewa sifa. Ni sahihi na ninaunga mkono hoja ya kuwatafuta wote wenye vyeti feki lakini siungi mkono hoja ya entry qualification za watu ambao wameshaanza au walishasoma. Pomoja na kwamba mimi sikuwa na performance za chini levels zote lakini fikiria kuhusu jamii iliyosoma shule za kata wakapata ufaulu wa chini wakasoma hizo Foundation course kwa kuuza mashamba yao ili na wao wapate degree kwa utaratibu halali kwa wakati huo leo Ndalichako anawaona kama kinyesi. Nimeamini huyu mama ndio maana majirani zetu katika imani hawaamtaki maana amepitiliza .
 
Ukiangalia TCU NOTICE ADMISSION CRITERIA:
4.0 No Admission For Foundation/Bridging Programmes.
All Foundation/Bridging Programmes ,including University Qualification level 6(UQF6), have been stopped altogether with effect from 2016/2017 academic year. Therefore such programmes are not alllowed to admit students.
Kwa sisi wanasheria,tunaona mama anaongea kufuraisha mdomo wake.Hawezi ku render certificates invalid kwa watu waliopitia hizo foundation programmes.
 
Mkuu hili jambo limesikitisha sana kwani nikichulia mfano vijijini kwetu, kabla shule za kata wanafunzi walichaguliwa kwenda shule za serikali zenye unafuu kama old moshi, kwiro, Pugu, Minaki n.k ndio maana sisi wengine tulisonga zaidi. Lakini Tangu shule za kata zianze watoto wa kijijini kwetu wanapelekwa shule za jirani ambazo hazina ubora matokeo ni mwendo wa div zero na four baada ya wanakijiji kuuza mbuzi na mashamba yao yaani inatia hasira sana, yaani matokeo yake ata kama ndugu yako ana akili atachaguliwa shule za kata na ukitaka asome lazima umpeleke private
 
Back
Top Bottom