Recent content by Chishango

  1. Chishango

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mo Dewji tuachie timu yetu

    Awarudishie kwani mlimkabidhi lini?
  2. Chishango

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marais wanawake Africa waliolewa wakiwa na 18 yrs, mwanamke ukitaka kufika mbali olewa mapema ukomae kiakili

    Ungeanza wewe kuweka ushahidi wa kuwa aliolewa akiwa na miaka 18 ingependeza sana wala tusingefika huku mkuu
  3. Chishango

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marais wanawake Africa waliolewa wakiwa na 18 yrs, mwanamke ukitaka kufika mbali olewa mapema ukomae kiakili

    Sio kweli aliolewa akiwa na miaka 25 akiishi Kenya
  4. Chishango

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marais wanawake Africa waliolewa wakiwa na 18 yrs, mwanamke ukitaka kufika mbali olewa mapema ukomae kiakili

    Joyce Banda aliolewa na nani kwenye huo umri wa miaka 18?
  5. Chishango

    JamiiForums Tanzania Duu kavua kweli

    Ukimtupa ziwani anaelea
  6. Chishango

    JamiiForums Tanzania DED wa Itigi: Ninapakaziwa kesi ya mauaji

    Luhende si ni mpwa wa Magu unategemea nini hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Chishango

    JamiiForums Tanzania Siku nilipolazimika kutumia silaha

    Unafanya makosa makubwa umekisoma vizuri kile kitabu cha umiliki? Kifupi ni kwamba unatakiwa uwe nayo muda wote unless umeihifadhi polisi siku ikipotea ndo utaujua muziki wake
  8. Chishango

    JamiiForums Tanzania Philipo Mwakibinga: Mbowe kaidanganya Mahakama, haumwi yupo Marekani

    Huyu ni makongolosi kule kwenye mawe matupu.... mtaani kugumu na kazi hana unategemea nini?
  9. Chishango

    JamiiForums Tanzania Hivi katika historia kuna wabunge waliowahi kuapa mara mbili katika bunge lile lile?

    Akili za kuendea maliwatoni hizi
  10. Chishango

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Mbowe 2015 yanaigharimu CHADEMA na taifa kwa ujumla lakini ya kulaumiwa ni Kamati kuu ya chama hicho!

    Maajabu makubwa ccm kuichagulia chadema mwenyekiti...kama chadema imedhoofika mwambieni baba yenu STONE aruhusu watu wafanye siasa kwa mujibu wa katiba muone moto
  11. Chishango

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha alfu lela ulela hiki hapa download

    Allan Quarteman ninacho cha kiingereza
  12. Chishango

    JamiiForums Tanzania Laana ya Makonda bado inayatafuna makontena ya walimu

    Utetezi dhaifu kabisa ... Bashite kawaungia bando vijana kumsafisha kinyesi usoni bila kuvaa gloves.... jambazi mkubwa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom