Habari wadau ?
Tupeane pole kwa msiba mzito.. ila maisha lazima yaendelee
Leo tumepata Rais mpya mama yetu Samia
Katika pita pita za mtandaoni nimesoma ma Rais wanawake waliowahi kuongoza nchi za mfumo dume.. yaani za Waafrica hasa sisi weusi.
Historia ya Samia inaonesha aliolewa akiwa na miaka 18.
Rais wa Liberia pia mwanamama Ellen Sirlef aliolewa akiwa na miaka 18
Rais wa Malawi pia, Malawi imeshawai kuongozwa na mwanamke Joyce Banda ambaye aliolewa akiwa na miaka 18
Hii inaashiria ndoa za mapema zinawafanya wanawake wafike mbali sana maana wanaruka stage ya kuruka disco na kuwaza upuuzi