Sasa hilo nalo tusi?.. we utakua na tatizo la ukosefu wa usawaziko wa hisia.. Wasemee wewe Watanzania.. au anzisha Chama chako kiwe kinakula ruzuku kila Mwezi, Sasa Kama yanayofanyika Mazuri Kuna haja Gani ya Vyama vya siasa kusema chochote Mkuu, Punguza Ngendembwe!! Tumeridhika na...
Kuna muda hua nawaza Kwamba hii nchi ni ya kipuuzi Sana Ila nikiwafikiria waa Africa wenzangu wa Ethiopia, Somalia na Sudan nabaki kushukuru Mungu tu kwa yote.. Ila hakuna mwanzo usio na Mwisho! Majanga Kama haya hayaepukiki kiurahisi zaidi nikuomba Mungu tu Amani na Upendo vitamalaki!
We Kama haujasoma waache waliosoma walalamikie ukosefu wa ajira.. Kwani we ulikatazwa kusoma si umburula wako na kuendekeza uzinzi kilisababisha ukafeli.. mtoto mat.ko Sana wewe
Wanasema Mtu akijifanya kichaa we jifanye Chizi alafu muonyeshe Mchakato! Mi ningen'goa tofali kudadadeki! Kila mtu abaki na Chake.. ningebandua mabati, tofali nazitaftia mteja, kwa jerojero nalala mbelee!!
Wazo zuri Sana Sema Wachangiaji ndo hakuna na hata hiyo serikali Kama imeshindwa kujenga Shule, zahanati au Vituo vya Polisi na Nyumba za watumishi sidhani kama itakuelewa..
Ubongo wenye thamani kubwa Sana.. yaan Kama ubongo Ungekua unauzwa huyu jamaa angeuza wa kwake Bei gari Sana maana ameudecorate kwa knowledge kiasi umekua sio wa kawaida.. hua nafuatilia post zake insta, kwa kweli hua sijilaumu Sana.. big up Brother Jeff..
Ishi Maisha yako achana na ya watu, we Kama umeolewa si utulie kwenye ndoa yako.. Maisha hayana formula na usiishi kwa kukariri.. we umeolewa kwa ndoa Kuna kitu gani kimeongezeka?, Kurukaruka kwa Bisi ndo kuiva kwenyewe huko,kalaghabaho!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.