Nina shahada ya ualimu natafuta kazi

Nina shahada ya ualimu natafuta kazi

habari wakuu, nina shahada ya ualimu katika masomo ya literature na kiswahili, natafuta shule ya kufundisha kwa masomo tajwa, kwa anayejua shule naomba anipe details ili niweze kutuma maombi, au anayeweza kuniunganisha kwenye shule yoyote, hata primary ninaweza kufundisha kwani ninajiamini na naelewa ninachokfanya.
Achana na mawazo ya kuajiriwa kama mwl.utalala njaa ajira hazipo cha kufanya kama upo Dom nitafute tushirikiane kibiashara mtaani.
 
ni kweli mana fani yenyewe ni mpya mpya lkn ndy hivyo tunajitajd kutafuta ivyo ivyo ht sehem ya kujitolea tu ili tuendelee kupt uzoefu
Hapo mzee baba ni shida literature sio mchezo mpaka upate job
 
Kwahiyo taaluma ya lugha unajichelewesha jiajiri tu.

Serikali ya awamu ya tano imeishiwa pumzi na imeua sekta binafsi
habari wakuu, nina shahada ya ualimu katika masomo ya literature na kiswahili, natafuta shule ya kufundisha kwa masomo tajwa, kwa anayejua shule naomba anipe details ili niweze kutuma maombi, au anayeweza kuniunganisha kwenye shule yoyote, hata primary ninaweza kufundisha kwani ninajiamini na naelewa ninachokfanya.
 
habari wakuu, nina shahada ya ualimu katika masomo ya literature na kiswahili, natafuta shule ya kufundisha kwa masomo tajwa, kwa anayejua shule naomba anipe details ili niweze kutuma maombi, au anayeweza kuniunganisha kwenye shule yoyote, hata primary ninaweza kufundisha kwani ninajiamini na naelewa ninachokfanya.
kama ww ni ke njoo pm nataka uwe unakuja jion kunifundisha babu yako english course
 
Back
Top Bottom