Recent content by chintunu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Shule za halmashauri ya Mji wa Mbinga wazazi waandamana kwenda kuchukua michango yao

    Nchi hii ni Nani anayeweza kuchangia pasipo kuambiwa..halafu watu kama nyinyi hata hamna watoto mnaosomesha.. Hali iliyopo mashuleni unaijua...? Endeleeni kuwa mamburura mje tawaliwa milele..
  2. C

    JamiiForums Tanzania Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

    Wengi wataingia ...niamini..huo ni mwanzo tuu..anajua kwa kufanya hivyo watalegeza Uzi asije wataja..hongera
  3. C

    JamiiForums Tanzania Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajira

    Every system plants the seed of its own destruction... Tusubiri..time Will tell..
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jamani, haya maboza ya maji ya Jeshi yanaruhusiwa kutuuzia maji huku mtaani?

    Piga PICHA utuletee hapa jamvini
  5. C

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Mkoa Simiyu: Hii elfu kumi ya mchango wa ujenzi wa madarasa hamuoni kama ni kubwa?

    Kinachochoshangaza ni kwamba sensa huwazinafanyika nchi hii..lengo moja wapo huwa ni Ku predict trend ya population kwa umri hivyo kupelekea kutambua uhitaji wa Huduma Fulani kwa umri..kwa mfano mahitaji ya madarasa,Huduma za Afya ,JAMII nk..sasa huu mkurupuko wa kutaka Kujenga madarasa bado...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wapinzani Kujiunga CCM: Wanaikubali CCM Imebadilika?, Wanamkubali Magufuli na Kumfuata?, Au ni Njaa Zimewakimbiza?.

    Kwa upande Wangu naona wameona hakuna cha kupoteza..kwani mtukufu hasikii lolote
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

    Nje nje nje ndani
  8. C

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Sio Tanzania ndugu Yangu...majitu mengi kama yamerogwa.,yaani yana macho hayaoni,yana masikio hayasikii Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apingwa vikali, aambiwa asigeuze TLS kuwa chama cha siasa

    Naona ww ndio uelewa wako ni hafifu..suala ni tukio lililogusa wanasheria yaani ulipuliwaji wa ofisi za wanasheria na si chama cha chadema kwa hyo kama Mwenyekiti hatua aliyochukuwa ni sahihi kwa mwamvuli wa uenyekiti..acha ulofa nyumbu mkubwa we... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. C

    JamiiForums Tanzania MASAKI, DAR: Wayne Lotter, Mwanaharakati aliyekuwa akipambana na ujangili auawa kwa kupigwa risasi

    Kuna kamsemo kanasema....dog in monger....wajuvi naombeni mawazo.. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    [Ala] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. C

    JamiiForums Tanzania Serikali Yamwaga ajira kwa walimu, Yatangaza nafasi 92 kwa ngazi ya shahada nchi nzima

    Au ni 92,000..? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. C

    JamiiForums Tanzania Tuache ujima! Tuache Rais Magufuli asemwe, kukosolewa hata kushauriwa. Tuache vitisho

    Anajihami..over... Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom