Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

siku kama hizi - T.I.D
bongo daresalam, chemsha bongo - prof jay
machozi- lady jay dee
 
Me zilizonishika za enzi hizo mpaka leo zipo kichwan na nazikubali sana ni
1.Bush Party by Mabaga Fresh
2.Nakuhitaji by Caz T
4.Mtoto wa Geti Kali- Inspector Haroun
5.Salome - Dully Syskes
6.Starehe - Ferouz
7.Kazi ya dukani - Dogo Mfaume
8.Alikufa kwa Ngoma - Mwana FA
9.Kila ulivyo nakupenda tu -Dudu Baya
10.Zuwena - Mr. Paul
11.Chini ya 18 - Legendary Sugu
12. Zali la Mentali - Profesor Jay
13.Uko Wapi - Ray C
N.k
Kuna ule wimbo wa Q-Chief na Lady jay dee yaani zilikuwa ngoma nzuri sana na zenye ujumbe.

Kweli Old is Good.

Bush party nadhani ni solid ground family
 
1. Blah blah --- Mr. Two
2. Nimesimama ---Mr. Two
3. Daresalaam ---Mr. Two
4. Mama---King Crazy GK
 
Hayakuhusu-Rah P
Wachuja nafaka-Wachuja nafaka
Bishoo-Jay mo
Tingisha-Jay mo
Mvua na Jua-Jay mo
Maisha ya Boarding-Jay mo
Ndani ya Club-Pfunk, Nature,Saigon &Bodea
Masikini Jeuri-Manduli Mob
Manyema family!
 
Jiko limenuna
Ngoma inogile
Picha la leo
Kindumbwe ndumbwe - Zote Zig zag crew
 
Pesa - Farida
Farida - Emani
Life ya uswazi - Gangwe mobb

Tupo kamili
Mtulize
Tunataabika - Mabaga fresh
 
Kama kumwambia-Big Dog Pose
Usinitafute-Jafarai
Mke wa mtu sumu-Majitu
Gado-Zay b
Wachumba 30-John Mjema(r.i.p)
Hali halisi-Mike T
Kwenye chati-Balozi Dola Soul.
Niko mikononi mwa polisi-Afande Sele&Sugu
Nicheki-O ten
Raha tu-Ay
Ingekuwa vipi?-FA ft Jay mo
 
tulianzisheni la kigeto getoo, juma nature p-funk na king sapeto...
Kila swali darasani unaniuliza mimi tu, kwani wengine huwaoni?!
Shule tumekuja kusoma au kufanya adhabu vyoo?! hatari sana, enzi hizo nikikikosa kipindi cha Deiwaka(Radio Uhuru) chini ya Sebastian Maganga au Show Time(RFA) chini ya kina Sandu G, Kid bway, Roy Maganga n.k hata alipohamia Soggy baadae! Hatar sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom