Mara nyingi tumezoea kuona kuna baadhi ya kazi huwa zinafanywa na wanaume pekee, kama vile umachinga, kupiga debe, kubeba zege, kuwa kondakta au hata ufundi magari, lakini siku hizi si kitu cha ajabu tena kukuta wanawake wakifanya kazi hizi kama vile mimi nilivyokutana na dada huyu akitembeza...