Nasakadoo
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 343
- 169
Vijana wa Arusha wanawaza kwenda Mererani tu. Unakuta kijana wa mererani hana hata mia, anawaza kupata milioni 200.
Mweee!! Nilienda Mererani,nikashangaa napigiwa story za yule alikuwa na 1b,huyu aliyepita hapa alikuwa na 400m,mara yule alikuwa na 300m,lakini ukiwaangalia hao unaooneshwa, Sendo zimeisha hawana hata mia! Sijui ela za madini zikoje
Nikaamua kurudi zangu.
M=milion
B=Bilion