Recent content by Chimwailo

  1. C

    Elections 2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

    Hiyo thread ambayo haina mashiko ibakie hapo ili iweje,kazi kuwajaza watu ujinga tu!
  2. C

    Sumaye, Unafahamu uliongoza baraza la kifisadi kuliko yeyote?

    Kweli ninyi ni vichekesho,leo hii hata akitoka magufuli akajiunga na ukawa mtakuja hapa na kashifa zake kibao bila kujua kinachotukela sisi ni hao mnaowatuhumu kwa nini hamuwachukulii hatua za kisheria ili tuwe na imani nanyi,lakini mnakuja hapa na story za abunuwasi nani atawaelewa?
  3. C

    Lowassa, nionyeshe marafiki zako, na mimi nitakuambia wewe ni nani

    Hivi ni nani asiyejua ccm ndio waasisi wa rushwa na u fisadi uliokithiri nchi hii, leo hii tumeshuhudia chaguzi mbalimbali zinazofanywa na ccm ktk ngazi mbalimbali kuanzia udiwani na ubunge,ni nani asiyejua rushwa ikitumika ktk chaguzi hizo na kibaya zaidi safari hii wamebainika wakitumia kadi...
  4. C

    Hivi lowasa angehamia act angesafishwa kama nionavyo sasa au!???

    Na kama angebaki kuwa mwana Chama wa ccm,vipi wana ccm wangekuwa wanamshabulia kama wanavyo mshambulia sasa hivi?
  5. C

    Philip Mangula vs Dr. Willibrod Slaa

    Kama unaelezea mafanikio ya kuchakachua uchaguzi na matokeo upo sawa kabisa mwanawani mangula yupo juu!
  6. C

    Oil chafu alizowaonya Nape zinazima injini ya CHADEMA Leo!

    Hata zuma alikumbana na kashifa kibao Africa kusini,lakini alichukua nchi sasa wewe endelea kujifariji kana kwamba watanzania wa leo ni watu wa kupumbazwa na ujinga wako kuhusu slaa,watu hatukuelewi kuhusu slaa ukizingatia yupo kwenye kundi la wanyonge hakuna mtetezi mwingine zaidi na hatatokea...
  7. C

    Wilbroad Slaa – Hii Ndiyo Fact Check Sahihi na ya Wazi

    Mtu mwenyewe anaitwa Abunuwasi,alichokielezea hapo ni hekaya za jina lake,wadau mpotezeeni huyo,hana issue!
  8. C

    Maoni ya Mnyika dhidi ya hotuba ya rais ya mwezi Juni

    Wewe ndiye unayefikiri kwa kutumia masaburi na rais wako dhaifu,hivi aliyejipangia kuwahutubia wananchi kila mwisho wa mwezi ni nani? hivi tar- 1 imegeuka kuwa mwisho wa mwezi au tupe sababu za msingi zilizomfanya ahutubie tar-1 badala ya tar-30.mijitu kama nyinyi ni lazima mtakuwa na elimu ya...
  9. C

    CHADEMA yateka kusini - Soma hotuba yao

    Tunataka akiwa rais wa nchi alipwe zaidi ya 7.5m,kwani TZ tuna rasilimali za kufa mtu,tatizo zinaporwa na nyinyiem na serikali yake.angalizo kwa watumishi wa serikali ni raha tupu *Peoples power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!2015*
  10. C

    CCM ni chama imara na ni cha watanzania wote

    Ungekuwa karibu yangu ningekulamba.
  11. C

    Wanachama wa ccm wahoji..shibuda katoka wapi ktk mkutano wa kamati kuu ilhali ni mpinzani?

    Kwa hiyo hao wapinzani aliowawakilisha ndio walimtuma akatangaze nia ya kugombea urais na kumtaka kikwete awe campain maneger wake?
  12. C

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Ushauri wangu kwa wasira,rudi mbugani kabla M4CHANGE haijakusomba!
  13. C

    Taarifa kwa Umma-Tamko la J.Nassari kuhusu Tamko la NMC

    Wewe ni kilaza tu,huyo rais wako mwenyewe kila kukicha ni aibu tupu pamoja na watendaji wake,mbona huongei unaona issue ya nassari ni bonge la soo! bora unyamaze kenge maji mkubwa ww!
  14. C

    Jenerali Ulimwengu kanena: Huwezi kujadili katiba mpya bila kuujadili muungana

    Hivi bara na visiwani wapi kuna mafisadi zaidi na ni kwa nini?
Back
Top Bottom