CCM ni chama imara na ni cha watanzania wote

Juzi nusura nipate Ban ya maisha baada ya kusema mtoa anatafuta cylinder. Bora this time nisepe kabla sijarudia niliyosema wakati ule.
 
Wakati tunapata uhuru tulikuwa na Barabara ya lami moja na sasa kila mkoa unaunganishwa na lami, Secondari mpak a kwenye kata, mafisadi wanashughulikiwa,....

Unadhan Chadema wakishika nchi watafanya nini zaidi ya kutuibia tu kwa sababu chama chao hakikuwa chama cha siasa,
Dr Slaa amebeba fedha za Chama anajenga Nyumba yake bila kupewa na Chama Je akikabithiwa nchi atafanya nini kama kaanza wizi mapema,,,,,

Cha Msingi kwenye nchi yetu kupata viongozi wazalendo
Ccm hawangekuwa wanatuibia tungeweka lami hadi barabara za kuelekea vyooni.chadema wasinge kuwa wanatushitua kutoka kwenye usingizi wa kibundi tulio nao kuwa mafisadi tulio wafuga ndani ya chama chetu kuwa wanaliangamiza taifa tungeishi tz kama peponi.
 
Wakati tunapata uhuru tulikuwa na Barabara ya lami moja na sasa kila mkoa unaunganishwa na lami, Secondari mpak a kwenye kata, mafisadi wanashughulikiwa,....

Unadhan Chadema wakishika nchi watafanya nini zaidi ya kutuibia tu kwa sababu chama chao hakikuwa chama cha siasa,
Dr Slaa amebeba fedha za Chama anajenga Nyumba yake bila kupewa na Chama Je akikabithiwa nchi atafanya nini kama kaanza wizi mapema,,,,,

Cha Msingi kwenye nchi yetu kupata viongozi wazalendo

Wazalendo kama wale wanao hongwa suti 3?
 
kama ni barabara mbona barabara ya dar mtwara hajakamilika kwa kiwango cha lami mpaka leo miaka hamsini ya uhuru?? unazungumzia shule mbona hujazungumzia ubora wa elimu ya hizo shule?? bichwa maji wewe....
 
Chadema wanapeana madaraka kwa ukanda, na si wazalendo..

Slaa kachukua pesa za chama bila idhini anajenga nyumba...

mkuu nimepata shida kujua hizo ni akili zabinadamu au za mbayuwayu mwanamme mmbeya wewe hao ccm wanaoiba hela za kodi za maskini hujawaona ,hao wanapandisha twiga wenye uhai kwenye ndege hujaona ,huyo anayekula jasho lake roho inakuuma,umepeleka wapi ubongo wewe?
 
Chadema wanapeana madaraka kwa ukanda, na si wazalendo..

Slaa kachukua pesa za chama bila idhini anajenga nyumba...

uhARO HUU KWA KIYUNANI UNASOMEKA HIVI!
הם נותנים את הדואר באזור, ולא המקומי ..

הודעות צד לקחו כסף בלי רשות בונה בית ..
 
Back
Top Bottom