Wanachama wa ccm wahoji..shibuda katoka wapi ktk mkutano wa kamati kuu ilhali ni mpinzani?

Wanapata tabu kuelewa kuwa ktk kamati kuu yenye watu wanaojiita makini kama Nape na Jakaya ambapo pale strategy nyingi za kuwashughulikia opposition hupangwa..BW.SHIBUDA KATOKA WAPI HUMO NA KAPEWA KUHUTUBIA MLE KAMA NANI NA KATIBA AMA KANUNI IPI YA CCM INARUHUSU?

Wanataka msimamo wa NAPE huku wakikinanga chama chao kuwa kumtumia SHIBUDA kukisambaratisha chadema ni kupoteza dira kwani mbunge huyo ameshaisha kisiasa na huwa anaonekana hamnazo.

Yani Bado mnahangaika na shibuda tu mpaka mnajaribu kutumia mbeleko ya wanachama wa ccm iwasaidie kumdhibiti jamaa?!!!!!!!

Mimi sioni kwanini mnaweweseka na kauli ya shibuda,mbona alilofanya ni jambo la kawaida kidemokrasia,nyie mnachotakiwa sasa ni kumshukuru kwa kutangaza nia yake mapema na kuwataka na wengine wote walio mafichoni wajitokeze na kutangaza hadharani ili muanze kuwachunguza mmoja mmoja mpaka wakati ukifika pumba na mchele vitajulikana,then mtampata mgombea mnaemtaka.
 
Shibuda alikimbia CCM baada ya mkwara wa Shehki Yahya kuwa atakaempinga JK kwenye kugombea Urais atakufa, na hata alipotangaza nia CCM nzima walimgeukia kwa Nguvu zao zote.

Sasa anaamini kupitia CDM itakuwa kirahisi tu kupata hiyo nafasi. Ila ajue tu imekula kwake, hakuna atakaetoka CCM akapewa hiyo Nafasi ya kugombea urais via CDM hilo wasahau. Vigezo vitakavyowekwa itakuwa ngumu sana kwa wao wadandiaji kuvuka. Mfano mzuri ni wakati wa Viti maalumu, ile formula ilotumika kupata wenye vigezo niliipenda sana
 
Mkuu hebu nitoe tongotongo kidogo na kuongelea mambo ya kugombea urais ni APRM?

Mkuu acheni kuzunguka, angalia swali la mtoa maada!! kuna watu wanafikiri kuwa shibuda aliingia tu kwenye ile sehemu, taarifa ya yeye kuwepo pale ilikuwa inajulikana na viongozi wake mkuu!!
 
Kwa hiyo hao wapinzani aliowawakilisha ndio walimtuma akatangaze nia ya kugombea urais na kumtaka kikwete awe campain maneger wake?
 
kwa hiyo alikwenda kutangaza nia?alitumwa akaseme kuwa wapinzani hawawezi kuchukua nchi. kiufupi alikwenda kuikashifu chadema na upinza,haiitaji shahada kulitambua hilo. kumtetea mtu bila msingi ni dhambi.
 
kwa hiyo alikwenda kutangaza nia?alitumwa akaseme kuwa wapinzani hawawezi kuchukua nchi. kiufupi alikwenda kuikashifu chadema na upinza,haiitaji shahada kulitambua hilo. kumtetea mtu bila msingi ni dhambi.
hv hiyo nini sijui mnaiita ndiyo inamruhusu kutangaza nia na kuomba kupigiwa debe???
SHIBUDA=IBUDA=MUUAJI toka kwenye kamusi ya kikinga!
 
Kila mtu ana uhuru aa kutoa mawazo yake, nashauri tutangulize maslahi ya nchi yetu mbele kilimo ya vyama, je vijana wasio na ajira watasaidiwa vipi jamani?
 
Back
Top Bottom