Recent content by chimpumu

  1. chimpumu

    SIRI NZITO Vita ya Urais: Lowassa na Membe Kuvurugana... Hatari ya CCM Kumeguka!

    Samahani Snowden, Nimechunguza kwa makini hiyo scan copy yako nimeshangaa kuona kalatasi imejikunja katikati lakini maandishi yamenyooka hayana tofauti na sehemu ambazo kalatasi haijajikunja. Mi ninaisi kama utakuwa unadanganya.
  2. chimpumu

    Whatsapp calling activation

    Thanks much, It is activated.
  3. chimpumu

    Ndugu zangu naomba ufafanuzi, Hivi ndivyo inavyopaswa Kuwa?

    Utaratibu nzuri ni kuweka sheria, then kuelimisha then kuenforce. Hauwezi kuelimisha bila kuwa na mwongozo. Pia kuelimisha kunakuwa kugumu maana baadhi ya wanaoingia na nikhabu bar na wanaotumia kwa kujificha kwenye maovyo yao siyo waislamu. Lengo lao ni kuchafua uislamu. Tuunge mkono Mahakama...
  4. chimpumu

    Ndugu zangu naomba ufafanuzi, Hivi ndivyo inavyopaswa Kuwa?

    Basi tuunge mkono kwenye kudai mahakama ya Kadhi ili tuwa wajibishe hawa wanao ihaibisha dini yetu.
  5. chimpumu

    Ndugu zangu naomba ufafanuzi, Hivi ndivyo inavyopaswa Kuwa?

    Siku hizi hata wakristo wanavaa sana wakiwa wanaenda kwenye michepuko ya sehemu ambazo wanaogopa kujulikana. Mtoa mada tunaomba uhamasishe wenzio ili mahakama ya kadhi hitambuliwe na katiba ili tuwa wajibishe watu wenye tabia hiyo.
  6. chimpumu

    Prof. Muhongo anakubalika kwa wanavijiji nchini kote kwa nishati ya Umeme

    Kama ni kweli anakubalika namna hiyo, Mwambie haende vijiji vya MTWARA akajinadi juu ya hayo uliyoyaandika.
  7. chimpumu

    Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

    Mahakama ya kadhi inayobagua baadhi ya sharia haitakiwa kwa waislam cha msingi ni waslam kuimizana jihadi ili tuwe na serikali ya kiislam itakayo ruhusu sharia zote kutumika.
  8. chimpumu

    Msaada wenu wadau: Hii namba inayoanza na 0901 ya wapi?

    Unapoteza bahati, ukipigiwa na hiyo namba ujue umechaguliwa kuwa mkuu wa Wilaya. POle sana
  9. chimpumu

    Maandamano makubwa dhidi ya ugaidi jijini paris

    Kwa hiyo njia sahihi ya kudai ardhi yao ni kuua wanaokalia ardhi hiyo? Huna lolote Makafiri nyinyi ni ndugu, Amerika wanaua watu wengi bila hatia nyinyi huwa mnashangilia lakini muislam hakiua watu wawili woote mnavimba kwa hasira.
  10. chimpumu

    Maandamano makubwa dhidi ya ugaidi jijini paris

    Qurani inasema "makafiri ni ndugu" ndiyo hiki kinachotokea, waparestina wanauliwa bila hatia wananyanganywa makazi yao ila dunia hipo kimya.
  11. chimpumu

    Maandamano makubwa dhidi ya ugaidi jijini paris

    Mwenye kujua naomba maana halisi ya neno GAIDI.
  12. chimpumu

    Kusafiri safari ndefu kwa kutumia toyota passo

    Usiwe na wasi kabisa cha msingi piga service ya nguvu, badiri oil, filter pia angalia ujazo wa coolant, kapime upepo wa tairi. Then weka mafuta ya 50k unafika rushoto bila shida yeyote tena bila kushusha vioo (full ac). Mimi nilitoka nayo DOM hadi Mtwara.
  13. chimpumu

    Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Daah, hadi machozi yana nilenga lenga huu ni upuuzi,
  14. chimpumu

    Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Mkuu wa Kaya, na mimi naomba msinikate PAYE, TRA wataniandikia barua nitakubali na nitawalipa. Pumbaaaf Serikari inanyenyekea mwizi.
Back
Top Bottom