Salaam...
Naomba msaada wenu wadau...Nimekuwa nikipigiwa simu kwa namba zinazoanzia 0901 656...
mara kwa mara, lakini kwa kuwa siielelwi na kwa kuwa nimesikia habari za kutatanisha kuhusu namba hizi, sijawahi kuipokea. Kwa kifupi, NAOGOPA.Kama kuna mwenye ufahamu naomba kufahamishwa maana nahisi kama ndio natafutwa hivi na wale wanaotoa roho za watu ili wafanye nini sijui...au ni ushamba wangu?
Wasalaam.