hivi wakuu jimbo lisipoichagua ccm basi wanasuswa na viongozi wote wa serikali na maendeleo yanazuiliwa? sasa nikuwakomesha wananchi, kuwanyoosha au kuongeza uadui? demokrasia iko wapi sasa?
Mh! Wabongo wanapenda sana kuishi kukariri c kuelewa, jaribuni kujitahidi kubadilisha kubadili, ukifuatiliwa hata wewe una madhaif yako, ila swala la imani na misingi ya wenzako usilete mzaha.
Hebu mkuu mwambie atujuze na maeneo mengine kama Mdenga, Kianga, Majengo nk. Pamoja nahayo ina maana mabomu yanapigwa bila utaratibu tu? Haki haizuiliwi kwa mtutu wa bunduki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.