Vyombo vya habari acheni unafiki

Vyombo vya habari acheni unafiki

chukulia lile tukio la boston-marekani kama sikosei,ni watu 3 waliuawa lakini msako wake ulivunja rekord ya dunia,sawa hatuwezi kufikia kama usa lakini jitihada zinaweza kufanyika kama wakati ule walivyouawa polisi watatu na mbwa 1 pale dar miaka ya nyuma kipindi cha mahita,jitihada zilionekana na walifanikiwa kuwakamata na kuwaua wahusika wote......

Swali katika hili tutaona jitihada kama za wakati ule na wakati alipouawa barlow,japo hizo jithada hatukuziona wakati wa mlipuko pale olasit-kanisani....

Yangu macho,naogopa kucha zangu,kwaherini


tukitumia ozoefu wa nyuma, kitachotokea ni (1) tume itaundwa na rais au waziri wa mambo ya ndani. (2) atakamatwa mtu kisingizio waonekane wanajua (3) watu watasahau.

napendekeza tuondoe uoga mioyoni. hawa watu wawili tuwafukuze kazi kwa nguvu ya umma hili likiwa short term solution.
 
Freedom of press Kenya tu. Truly independent and free Fourth estate Tanzania bado.
 
Time will tell. Wana wa israel walisota zaidi ya miaka 400, sio kama Mungu alikua hasikii kilio chao bali ana makusudi yake.
 
Back
Top Bottom