Shokolokobangoshey
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 311
- 82
Ahhhh kumbe ndo mana wanatuambia kazi ni kwetuuu? Wakimaanisha kuibiwa! Ahhh AirTel yatosha bwanaaa
kweli kbsa no washenzi/wezi!, ss hapa nitakachofanya nachakachua modem yao ili nihamie zantel!
...na hata cm nitahamia huko zantel hawa washajisahau, bado na buku yetu wanataka
Wizi juu ya wizi
mh,naomba namba yko ya voda nikiona haipatikani nitajua umetekeleza ahadi yakovoda ni wezi tena wanaiba bila aibu
jumamosi niliweka shs2000 kwenye line yangu ya voda; nikajiunga (Hawatumi meseji ya kukunganisha japo hela wamekata)
nikaingia jf kwa muda mfupi, usiku naangalia salio eti ni shs.73; kweli vodacom ni waizi;
na laini yao nitaitumbukiza kwenye maji siku si nyingi.
mh,naomba namba yko ya voda nikiona haipatikani nitajua umetekeleza ahadi yako
mkuu hapa umesema sana,m hii huwea inaniumiza sana. nakaribia kuhama huu mtandao.me nimehamia zantel toka juzi, honestly nlichoka sana na voda nikaona isiwe kesi coz hii si ndoa ya kikristo nakawapa talaka fasta. Wezi sana kiukweli na ukinunua kifurushi halafu kikaisha wanakula credit zako zote ndo wakutumie msg dat umemaliza kifurushi.
me nimehamia zantel toka juzi, honestly nlichoka sana na voda nikaona isiwe kesi coz hii si ndoa ya kikristo nakawapa talaka fasta. Wezi sana kiukweli na ukinunua kifurushi halafu kikaisha wanakula credit zako zote ndo wakutumie msg dat umemaliza kifurushi.