Ukisema hivyo unakosea, maana mbona waislamu hao hao wa Zanzibar (TZ) wanaenda makazini na mashuleni siku ya Ijumaa, tena hapa hapa Tanzania, na siku ya jumapili wakristo wa Tanzania hawaendi, je nao huo sio uvumilivu? Au unataka kuvumbua yaliyojificha, hebu achana nazo hizo habari ndugu, wote...
Naomba msaada namba yangu ya tigo nimejiunga na whatsapp, lakini kuna mtu kwa sasa naye anaitumia na kwangu imefungwa kabisa, inasema inatumiwa na simu nyingine. Mbaya zaidi anaitumiwa kwa udanganyifu na wizi,anawatumia watu sms za kuomba pesa na watu wanampatia,nimelikundua siku nne zilizopita...
Ni kweli kabisa anachosema SHIEKA.Na hata hivyo tatizo kubwa liko kwa viongoz wetu wa nchi, ambao wanasaini mikataba bila kuangalia athari za baadae. MFANO nchi yetu inashida ya kununua ndege, matharani za kivita za kisasa,ambazo lbd zinagharimu dola $90000000000 na ss tuna dola $40000000000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.