Recent content by chilonge

  1. chilonge

    JamiiForums Tanzania Madaktari Bingwa wa Saratani wakutana Dar kujadili hatua zaidi ya kudhibiti ugonjwa huo

    Kama ni mwanaume, usiache kuchunguza saratani ya tezi dume.! Leading cause of death in men.
  2. chilonge

    JamiiForums Tanzania Mrejesho no 2: Mtoto wa kiume umri miaka 10 anakojoa mkojo umechanganyikana na damu

    Nafikiri Nkinga RRH kuna Urologist. Jaribu kuonana nae.
  3. chilonge

    JamiiForums Tanzania Mrejesho no 2: Mtoto wa kiume umri miaka 10 anakojoa mkojo umechanganyikana na damu

    Fika hospitali, omba kuonana na Bingwa wa upasuaji njia ya mkojo (Urologist)
  4. chilonge

    JamiiForums Tanzania Huduma ya MPesa ina shida gani? Nakaribia kuaibika huku Wakuu!

    Hata Yas nao majanga leo.! Mtandao wao wa Mix by Yas upo chini sana kuanzia mida hii ya usiku.
  5. chilonge

    JamiiForums Tanzania Je Ni kweli kiredio ka palalaizi miguu, hawezi tembea mpaka abebwe, je chanzo ni yule demu kumuacha au?

    Mapenzi yanaRun dunia.! Hata hujui maumivu yanatokea wapi, ila unajihisi unaumwa tu. Hata kama ikitokea ni 'Igizo' ila kutengana na yule manzi imemuathiri pakubwa. Na katika mapenzi 'moments' ndo huwa zinaumiza sana.
  6. chilonge

    JamiiForums Tanzania Mrejesho,mtoto wangu wakiume umri miaka 10 anakojoa mkojo uliochanganyikana na damu

    Mrudishe kwa daktari. Kuna haja ya kufanyiwa vipimo zaidi kuona nini kinaendelea. Daktari atafahamu vyema nini cha kumfanyia
  7. chilonge

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier league | KMC Complex | 15.09.2026

    Labda afunge mlango.
  8. chilonge

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier league | KMC Complex | 15.09.2026

    Hawa Geita ni 'Madenge' wanaocheza ligi kuu 😀
  9. chilonge

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier league | KMC Complex | 15.09.2026

    Sele hakuna mchezaji mule. Tulisema humu. Kasajiliwa kwa siasa za kukomoana.
  10. chilonge

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Kila la Kheri Simba SC, Mnyama mkali wa mwituni. Nguvu Moja.!
  11. chilonge

    JamiiForums Tanzania Saratani ya kibofu Cha mkojo(bladder cancer)

    Somo zuri.! Point #7, nafikiri jinsia ya kiume ni zaidi kwa wenzetu, ila kwa uzoefu mfupi niliouona, jinsia Ke aisee imeathirika zaidi. Katika wanawake 5 wenye umri kuanzia 59yrs wanaokuja na lalamiko la kutoka damu kwenye njia ya mkojo, 3-4 basi ni saratani ya kibofu ukifanya kipimo.
  12. chilonge

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-1 Gaborone Utd | CAFCL - Kufuzu Round 1 | Azam Complex | AGG 3-2

    Of course, Dabi ina mambo mengi sana mbali na uwanjani.!
  13. chilonge

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-1 Gaborone Utd | CAFCL - Kufuzu Round 1 | Azam Complex | AGG 3-2

    Mzee naona unanyoosha na 'Rula' kabisa.! Wazee wapo unga unga sana. Kwa propaganda ni A+
  14. chilonge

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-1 Gaborone Utd | CAFCL - Kufuzu Round 1 | Azam Complex | AGG 3-2

    Hata kujaza viwanja, imekuwa changamoto sana.! Siku hizi tiketi za bure zinatolewa ila kimya kimya sana.!
  15. chilonge

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Gaborone apigwa ngumi: TFF Ichukue Hatua Kulinda Taswira ya Tanzania

    Huu ni zaidi ya ushamba kwenye football.!
Back
Top Bottom