Recent content by Chilamwina

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mchele super 2800

    Mchele super kabisa Bei:2800 Location: chamazi jirani na uwanja wa azam complex 0682528220 Delivery ipo
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nauza mchele kwa bei rafiki

  3. C

    JamiiForums Tanzania Nauza mchele kwa bei rafiki

    Broo nitoke chamazi hadi kimara nilete kilo 2 kweli, wewe nunua tu hukohuko
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nauza mchele kwa bei rafiki

    Baada ya kujidunduliza na kujinyima nyima nikapata kamtaji ka kupata nusu tani ya mchele Nauza mchele kwa bei ya 1600 ,1800,2400 na 2800 Flem yangu ipo chamazi jirani na uwanja wa azam complex,pia nafanya delivery kwa wale ambao watakosa muda wa kufika ninapouzia Namba yangu ni 0682528220.
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

  6. C

    JamiiForums Tanzania Majina wanaopewa wanaume wasiofanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini

    Kwa kikaguru wanaitwa MURAJONI. hili neno linajumuisha dharau ndani yake kwa mtu alietahiriwa na ukamuita MURAJONI anaweza kukufungulia kesi mahakamani au akakutupia majini
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kipi ni Faraja yako kubwa Simu, Mke, Mume, Girlfriend, Boyfriend, JF, Pombe, Wazazi au Marafiki?

    POMBE POMBE POMBE inaniharibu kiafya,inantia hasara,inanichafua Kwa jamii yangu Lakini naipenda
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Ni zaidi ya miaka 10
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyoparamia mtumbwi wa vibwengo!

    Kumbe kuna wanaume wenzangu bado mnapenda Hadi mnavurugwa kiasi hiki
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umepanga kuzaa watoto wangapi?

    Nilipanga niwe na watano,Sasa Nina wawili
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sawa utafute mpenzi mjenge maisha wote au utafute maisha ndipo utafute mpenzi ?

    Tafuta mpenzi kwanza,mafanikio huja Kwa kuchelewa
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa Maisha

    Mimi ni kijana wa kiume 29 yrs natafuta mwenza wa Maisha (mpenzi) mwenye vigezo vifuatavyo 1. Umri 22+ 2. Dini (Christian) mcha Mungu 3. Location - Tanzania Elimu sio kigezo kwangu kwa maana mimi nataka mke ambaye ni wife material na sio Professor. Kwa ambaye yuko interested ani PM na...
Back
Top Bottom