Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,221
- 24,762
NimekusomaOoh wao sio mifano mizuri ya ndoa maybe; but haimaanishi kuwa ndoa ni kitu kibaya. Na Kila mtu ana deal breaker yake. Kama walikoseana hadi kupeana Ukimwi lakini wakaamua kusameheana; good for them. Wapo watu wengi tu ambao wana ndoa nzuri na sio kwamba ni 2 perfect people; as long as wao wanasameheana na kuchukuliana; how are we to judge? Ndoa sio lazima; lakini ni ya muhimu sana.
Ila unapenda ndoa jamani,...yaani i can feel it through your text lines here
Mumeo kapata mke for sure